Kama chuki kweli Clouds fm mnatisha kwa Lady J dee

ndo maana alwys am me B;real and alwys am staying real...
 
Nasikia wafu fm wanadeal pia na punda wa sembe!!!

"Nchi ngumu hii"
 
I luv Jide, amaonyesha ni jinsi gani ladies wanaweza kuwa strong na kufanikiwa kwa juhudi zao binafsi, bila kubebwa.. keep it up girl
 
elewa kua kasema nyimbo zake siyo za watu wengine
Hoja ni kwa nini hata nyimbo za watu wengine waliofanya kolabo na Jide zimechakachuliwa kuondoa verse za Jide? Jibu rahisi likawa: clouds wameamua kutii sheria bila shuruti. Umeelewa sasa?
 
mi namskilizaga shafii dauda2,ila nae anazngua coz nmegundua ukiperuz goal.com jion ukimsiklza anapita mulemule!
unajua wale jamaa wanachofanya wanasaidia watu ambao hawajui kiingereza na wasiojua ku browse. maana kila kitu wanapakua kule goal.com, espn, bbc gossips etc. ila bora wao kuliko vipindi vingine
 
Clouds c ------- tu wanagongwa wote..! Kujikuta et redio ya watu wakat hamna kitu chochote..! Nyie hata mkibania jide nyota yake iko juu cku zote tu mambwiga nyie..! Namkubali sana komandoo jide
 
Tusihukumu, hayaa mamboo tumuachie Mungu.

Kilaa binadamu ana mapungufu yake. Hata jaydee na aliiba mme wa mtu akamchukua hadi leo.

Hizi mambo tuache kama zilivyo!
 
  • Huu hapa JIKUBALI (bEN pOL)
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…