Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ningeshangaa kama nisingemuona Nyani Ngabu kwenye uzi huu..
Hoja ni kwa nini hata nyimbo za watu wengine waliofanya kolabo na Jide zimechakachuliwa kuondoa verse za Jide? Jibu rahisi likawa: clouds wameamua kutii sheria bila shuruti. Umeelewa sasa?elewa kua kasema nyimbo zake siyo za watu wengine
unajua wale jamaa wanachofanya wanasaidia watu ambao hawajui kiingereza na wasiojua ku browse. maana kila kitu wanapakua kule goal.com, espn, bbc gossips etc. ila bora wao kuliko vipindi vinginemi namskilizaga shafii dauda2,ila nae anazngua coz nmegundua ukiperuz goal.com jion ukimsiklza anapita mulemule!