Hapana ila nimewahi jiuliza kuwa,kama bundi nae ni ndege bona habebi abiria?
Na vipi ,inahitaji uwe mrefu kiasi gani ili uweze kuiona kesho!?
Naona umepambana mpaka nimeingia lupango lkn ukweli ndio huo!
Acha fujo wewe....kwa handwriting yako tu inaonekana hii ni ID yako nyingine!!!
Kale kathread kako kamefutwa naona unakuja na huku tena...
Ustaarabu ni kitu cha bure japo hakitengenezwi kiwandani
Kamefutwa coz ni ukweli unaowagusa wengi ngoja niwaache muendelee na kamchezo kachafu na moderator ni mbongo ndio maana hataki uwazi na ukweli!
Mods someni hii post kuna raia anawatuhumu huku...
huu ujio unatafuta lupango, Mods ikiwezekana apate ya maisha.
Naona umepambana mpaka nimeingia lupango lkn ukweli ndio huo!
duuu hilo sijui inawezekana tangu vimenunuliwa havijawahi kuoshwa that why kila siku vinaichafua serikali.
hio ilikua ni kabla au baada ya kujiuliza ni nani anaeoshaga vyombo vya habari?
mwenyekiti umewahi kula msosi aina ya rushwa? kama ndio vipi utamu wake? lakini unajua kinako pikiwa ?Na vipi ,inahitaji uwe mrefu kiasi gani ili uweze kuiona kesho!?
hio ilikua ni kabla au baada ya kujiuliza ni nani anaeoshaga vyombo vya habari?