Kama condom ni mipira mbona atuonyeshwi"supersport"?

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,011
Mmmhs shetwan mbayajaman hivi ushajiuliza hili kama nannn nayo mipira mbona awatuonyeshi supersport
 
Hapana ila nimewahi jiuliza kuwa,kama bundi nae ni ndege bona habebi abiria?
 
Ahahahahaha...........burudani.
 
Hapana ila nimewahi jiuliza kuwa,kama bundi nae ni ndege bona habebi abiria?

hio ilikua ni kabla au baada ya kujiuliza ni nani anaeoshaga vyombo vya habari?
 
Na vipi ,inahitaji uwe mrefu kiasi gani ili uweze kuiona kesho!?
 
Naona umepambana mpaka nimeingia lupango lkn ukweli ndio huo!

Acha fujo wewe....kwa handwriting yako tu inaonekana hii ni ID yako nyingine!!!
Kale kathread kako kamefutwa naona unakuja na huku tena...
Ustaarabu ni kitu cha bure japo hakitengenezwi kiwandani
 
Acha fujo wewe....kwa handwriting yako tu inaonekana hii ni ID yako nyingine!!!
Kale kathread kako kamefutwa naona unakuja na huku tena...
Ustaarabu ni kitu cha bure japo hakitengenezwi kiwandani

Kamefutwa coz ni ukweli unaowagusa wengi ngoja niwaache muendelee na kamchezo kachafu na moderator ni mbongo ndio maana hataki uwazi na ukweli!
 
wamekosa ufadhili tu ila wataonyeshwa muda sio mrefu mpwa wangu sosoliso amekubali kuwadhamini
 
Last edited by a moderator:
Kamefutwa coz ni ukweli unaowagusa wengi ngoja niwaache muendelee na kamchezo kachafu na moderator ni mbongo ndio maana hataki uwazi na ukweli!

Mods someni hii post kuna raia anawatuhumu huku...
 

hio ilikua ni kabla au baada ya kujiuliza ni nani anaeoshaga vyombo vya habari?
duuu hilo sijui inawezekana tangu vimenunuliwa havijawahi kuoshwa that why kila siku vinaichafua serikali.
 
Na vipi ,inahitaji uwe mrefu kiasi gani ili uweze kuiona kesho!?
mwenyekiti umewahi kula msosi aina ya rushwa? kama ndio vipi utamu wake? lakini unajua kinako pikiwa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…