Gari inakosa nguvu...engine inapata moto kama tanuru..coolants zinakuja kila week ujaze otherwise expect engine knock...Ni mara mbili ya distance ambayo mafuta yanapeleka gari yako, pia gesi asili Ni nzuri sana kwa maisha marefu ya injini yako kwani haina mabaki, na pia gesi asili Ni rafiki mzuri wa mazingira
So gesi ya 9000 inakufikisha morogoro?Niliwai sikia ,sina uhakika kuwa mtungi wa kilo 6 ule unaenda 200km...
Mbona hutoi mrejeshoBado tu hujafunga mtungi wa natural gas?
Tuhame tu aiseee..... Kwenye mafuta tunachajiwa hadi Kodi za kuwastarehesha viongozi wa chama chakavu
Hiyo safiIle gesi inakuwa na reserve Tu lazima uwe na mafuta pia kwenye tank Ila Kwa trip town unaweza kutumia gesi mwanzomwisho
🙋🙋Kuna mtu gari ist kafunga mtungi wa gesi
Anatwanga mwendo
Ova
Mkuu ulipotea sana[emoji137][emoji137]
Mkuu ulipotea sana[emoji137][emoji137]
Nipo aisee, nilikuwa Kiribati kuhudumuMkuu ulipotea sana