mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Silinde akipitishwa CCM hawezi kuchukua hilo jimbo hata kwa mtutu wa bunduki! Hizo kura alizopata ni nguvu kubwa sana imetumika ikiwemo yeye mwenye kutumia pensheni ya bungeni, bado Lepolepo na PM walipiga kambi kumnadi!Hata hivyo amepata kura nyingi sana tofauti na tulivyodhani.
Naona Kama ana nafasi kubwa ya kupitishwa na mamlaka za juu.
Kama alitumika CCM akiwa chadema unategemea anaipenda chadema? Yaani awe CCM aitumikie chadema?
Sidhani.
Silinde akipitishwa CCM hawezi kuchukua hilo jimbo hata kwa mtutu wa bunduki! Hizo kura alizopata ni nguvu kubwa sana imetumika ikiwemo yeye mwenye kutumia pensheni ya bungeni, bado Lepolepo na PM walipiga kambi kumnadi!
Kwa hiyo ndo katangazwa kashinda?.Hivi unategemea kuna mkurugenzi mwenye guts za kumtangaza mshindi mpinzani?
Tuma salamu kwa Jiwe
Maneno huumba.
David Silinde kwa kutamka hadharani kwamba yeye ni " Chawa" kwa miaka 5 aliyokuwa bungeni alikuwa akiitumikia CCM kwa siri amefungua mlango kwa maadui wa CCM kuweza kumtumia kwa sababu anaweza " kutumika"
Binafsi sikutegemea kauli kama hii itoke kwa mwanasiasa kijana, hata hivyo nawapongeza wajumbe wa Tunduma kwa kulijua hilo na kufanya maamuzi sahihi.
Maendeleo hayana vyama!
alidhani anajenga kumbe anajibomoa
Gonga spana tu
Silinde ni Famba tu
Chadema wanamapandikizi kibao ndani ya ccm lkn miongoni mwa hayo mapandikizi silinde si mmojawapo!
Hata hivyo amepata kura nyingi sana tofauti na tulivyodhani.
Naona Kama ana nafasi kubwa ya kupitishwa na mamlaka za juu.
Kama alitumika CCM akiwa chadema unategemea anaipenda chadema? Yaani awe CCM aitumikie chadema?
Sidhani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaja cdm hata kuchana nywele hachani
Ova
Umenena vema kusema "SIDHANI".Hata hivyo amepata kura nyingi sana tofauti na tulivyodhani.
Naona Kama ana nafasi kubwa ya kupitishwa na mamlaka za juu.
Kama alitumika CCM akiwa chadema unategemea anaipenda chadema? Yaani awe CCM aitumikie chadema?
Sidhani.
Aliambiwa aeleze sera zake mbele ya Wajumbe wa Jimbo la Tunduma kuwa ataifanyia nini Tunduma? Yeye akaanza mimi nilifanya kazi kwa siri kuipigania CCM nikiwa CHADEMA. Kwani nani hajui kilichomwondoa Silinde CHADEMA? Mara ooh sisi tulikua tunapinga kila kitu sasa hivi nimeokoka siwezi kupinga. Halafu eti nitajenga majengo ya vituo vya afya na shule kwa hela zangu. Hizo ndio sera kweli? Kwa kweli amewazalilisha sana wasomi wa nchi hii hasa wa UDSM. Alichopata alistahili. Halafu watia nia wetu wanafikiri wananchi waliosoma mpaka darasa la saba hawajui kupambanua sera!Maneno huumba.
David Silinde kwa kutamka hadharani kwamba yeye ni " Chawa" kwa miaka 5 aliyokuwa bungeni alikuwa akiitumikia CCM kwa siri amefungua mlango kwa maadui wa CCM kuweza kumtumia kwa sababu anaweza " kutumika"
Binafsi sikutegemea kauli kama hii itoke kwa mwanasiasa kijana, hata hivyo nawapongeza wajumbe wa Tunduma kwa kulijua hilo na kufanya maamuzi sahihi.
Maendeleo hayana vyama!
[emoji23][emoji23][emoji23] yaani sijui kwnn mtu akiwa mwana ccm anakuwa mtu wa hovyo hovyo kichwaniAliambiwa aeleze sera zake mbele ya Wajumbe wa Jimbo la Tunduma kuwa ataifanyia nini Tunduma? Yeye akaanza mimi nilifanya kazi kwa siri kuipigania CCM nikiwa CHADEMA. Kwani nani hajui kilichomwondoa Silinde CHADEMA? Mara ooh sisi tulikua tunapinga kila kitu sasa hivi nimeokoka siwezi kupinga. Halafu eti nitajenga majengo ya vituo vya afya na shule kwa hela zangu. Hizo ndio sera kweli? Kwa kweli amewazalilisha sana wasomi wa nchi hii hasa wa UDSM. Alichopata alistahili. Halafu watia nia wetu wanafikiri wananchi waliosoma mpaka darasa la saba hawajui kupambanua sera!