Davido kazaliwa pesa kazikuta home... kwahiyo wala hazimpi presha!
Na pididi anajitahidi kuandika vizuri.
Hoe unajua nilikuwa nimekaribishwa kwenye kaseminar sasa ushakula perdiem za watu hata wakisema usafiche choo utasaficha hali watoto waende chooni
jioni naambiwa tunaenda kwa davido
serena si unajua watumishi nikajua past
sasa namwona jamaa anaitwa nikakumbukaa aaaaah ndio yule alietuharibia bahati na kijanawetu
uko na dons utakimbia useme unarudi na gaari gani mkiingia mnahesabiwa kama kumbikumbi nani anamis
s loh acha tu
Sikuhizi umekuwa demu
Mbona msg isyokuhusu unakimbilia unaitaji mtenenge ninii
Haahaaaaa halafu dia natakanikupe suprise Leo Njoo topgarage basi tankibovu
Usijena mamwela Leo si unajua sikukuu
Umekuwa HOE
Umeniwahii atakua kaandikiwaa huyooo
Soma mashairi ya nyimbo za Davido.
Ni lafudhi za igbo tupu
Pdidy!
Kumbe sisi wa Tz ndo wachawi wa maendeleo yetu wenyewe!
Halafu mi nilijuaga we ni mlokole na unasali kwa Gwajima kumbe.......