Kama Davido ndio huyu, basi Diamond akustahili hata kuitwa kwenye zile tuzo

Kama Davido ndio huyu, basi Diamond akustahili hata kuitwa kwenye zile tuzo

pdidy mi nilijua wahudhuria majukwaa ya kina Gwajima tu kumbe hata kwenye majukwaa ya skeleuu

Haahaaaaa halafu dia natakanikupe suprise Leo Njoo topgarage basi tankibovu

Usijena mamwela Leo si unajua sikukuu
 
Davido kazaliwa pesa kazikuta home... kwahiyo wala hazimpi presha!
 
Hoe unajua nilikuwa nimekaribishwa kwenye kaseminar sasa ushakula perdiem za watu hata wakisema usafiche choo utasaficha hali watoto waende chooni

jioni naambiwa tunaenda kwa davido
serena si unajua watumishi nikajua past

sasa namwona jamaa anaitwa nikakumbukaa aaaaah ndio yule alietuharibia bahati na kijanawetu

uko na dons utakimbia useme unarudi na gaari gani mkiingia mnahesabiwa kama kumbikumbi nani anamiss loh acha tu
 
Davido kazaliwa pesa kazikuta home... kwahiyo wala hazimpi presha!

Anaonekana mkuu jamaa inaonekana ameanzankula mema ya nchi kwenye biblia akiwa tumboni kwa mamayake sio sisi tumeanza kuwatafutia wazazi mema ya nchi ndio tutafute yetu

Na watotowetu acheni tu
 
Hoe unajua nilikuwa nimekaribishwa kwenye kaseminar sasa ushakula perdiem za watu hata wakisema usafiche choo utasaficha hali watoto waende chooni

jioni naambiwa tunaenda kwa davido
serena si unajua watumishi nikajua past

sasa namwona jamaa anaitwa nikakumbukaa aaaaah ndio yule alietuharibia bahati na kijanawetu

uko na dons utakimbia useme unarudi na gaari gani mkiingia mnahesabiwa kama kumbikumbi nani anamis

s loh acha tu

Unaandika hovyo hovyo.....
 
Sikuhizi umekuwa demu

Mbona msg isyokuhusu unakimbilia unaitaji mtenenge ninii

Mtumishi wa Mungu mpakwa mafuta wa bwana mbona umetaharuki ghafla maana hayo ndo majaribu apitiayo mtumishi.
 
Pdidy!
Kumbe sisi wa Tz ndo wachawi wa maendeleo yetu wenyewe!
Halafu mi nilijuaga we ni mlokole na unasali kwa Gwajima kumbe.......
 
Haahaaaaa halafu dia natakanikupe suprise Leo Njoo topgarage basi tankibovu

Usijena mamwela Leo si unajua sikukuu

nakaa nyumba ya tatu kutoka hapo garage... ngoja nije tule mema ya nchi.
nakuja mwenyewe mwenyewe tu
 
Soma mashairi ya nyimbo za Davido.

Ni lafudhi za igbo tupu
 
Last edited by a moderator:
Mpwa natoka tabata KWETUPAZURI UNAPAJUA???
 
Pdidy!
Kumbe sisi wa Tz ndo wachawi wa maendeleo yetu wenyewe!
Halafu mi nilijuaga we ni mlokole na unasali kwa Gwajima kumbe.......

Ukialikwa na raisi kwenye party utagoma kwenda kisa kanisalako

Mtakosamemayannchibhivihivii duniani
 
Back
Top Bottom