Kama Davido ndio huyu, basi Diamond akustahili hata kuitwa kwenye zile tuzo

Kama Davido ndio huyu, basi Diamond akustahili hata kuitwa kwenye zile tuzo

Yaani mpaka mwstudent unasoma kwa bidiimwenyewe theway mwteacher anavyonganganiaueleeewe vitu
 
mi pididy napenda maneno yako tu humu jf

Hahaaa Wiwa basi nambayangu ileile unibariki tuendelee Kula mema ya nchi

TP/MP/AM Vyote tuna accept

Au utaki namie niwe na rangrover nikukumbuke ufalme wa babayangu
 
Wabongo tupunguze majungu jamani,kwa nn tunapenda kuchukia vya nyumbani
 
kuna watu wamezaliwa "Born to Win" kama davido kazaliwa pesa kaikuta so anaichezea anavyotaka..
 
Back
Top Bottom