mbongopopo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2008
- 1,611
- 760
Who's care?
Share alizonazo Diamond hawezi kua mwamuzi wa mwishoila pia DIAMOND anaweza kusema NO SIMTAKI HUYO na akizira kazi akaikosa mtu.
Hana mamlaka nazo hata kidogo. N lini dai aliwahi hojiwa akataja n vya kwake zaidi n jina linalo tumika ndo vinavyo wapa nyie verificationina maana ukisema hawezi unamaanisha Hata share/hisa za diamond Radioni kapewa kama zuga tu ila hana mamlaka nazo
au unataka kusema? maana hawezi vipi sasa
Kama Diamond kaweza kutumia ushawishi wake na uwezo wake wa fedha kuwavutia Edo na na Kitenge kukubali kusainiwa na wasafi media
Basi ni mda muafaka kwa kunguni wa pale mawingu kujiangalia upya kuwa Platnumz sio level yao, ni muda muafaka sasa vijana hawa wenye wivu na chuki wakiongozwa na Bdzn,Sudy,Ayo kujiangalia upya na kuacha chuki zao kwani ipo siku platnumz atakuja kuwa bosi wao.
Diamond ameonyesha mfano wa kuigwa kwa kuendesha wasafi bila ubaguzi, wasafi inacheza ngoma zote bila ubaguzi japo, imeshawaita baadhi ya wasanii kwenye interview lakini wanakataa sababu ya chuki binafsi.
Unajua function ya majority shareholder bro!!?...ila pia DIAMOND anaweza kusema NO SIMTAKI HUYO na akizira kazi akaikosa mtu.
Akikujibu ni tag namiUnajua maana ya shareholders??
Acha mihemuko ya Ushabiki Kisulisuli
Endelea kuona Mange ndio informer wako kusaga hana shea yoyote wasafi tv or fm nenda kaangalia umiliki wa ile tv tcra hakuna jina laKusaga anamiliki 51pc ya Wasafi
Kitenge amekuwepo EFM hajawahi wasumbua Clouds
Kumwembe sijawahi elewa anaongea nini.
Uzuri ni kuwa kwenye faida bado wenye Clouds wanapata 51
We jamaa ungejua Milard Ayo kila siku anatimba ofisi za Wasafi wala usinge muweka kwenye hiyo list na hao machoko.Kama Diamond kaweza kutumia ushawishi wake na uwezo wake wa fedha kuwavutia Edo na na Kitenge kukubali kusainiwa na wasafi media
Basi ni mda muafaka kwa kunguni wa pale mawingu kujiangalia upya kuwa Platnumz sio level yao, ni muda muafaka sasa vijana hawa wenye wivu na chuki wakiongozwa na Bdzn,Sudy,Ayo kujiangalia upya na kuacha chuki zao kwani ipo siku platnumz atakuja kuwa bosi wao.
Diamond ameonyesha mfano wa kuigwa kwa kuendesha wasafi bila ubaguzi, wasafi inacheza ngoma zote bila ubaguzi japo, imeshawaita baadhi ya wasanii kwenye interview lakini wanakataa sababu ya chuki binafsi.
Usingewaita binadamu wenzako kunguni ...point yako isingeeleweka!!?? Acha chuki na ushabiki wa kipuuzi.... Utafanikiwa yaani kwa huu mwandiko wako unaonyesha unachuki kali sanaKama Diamond kaweza kutumia ushawishi wake na uwezo wake wa fedha kuwavutia Edo na na Kitenge kukubali kusainiwa na wasafi media
Basi ni mda muafaka kwa kunguni wa pale mawingu kujiangalia upya kuwa Platnumz sio level yao, ni muda muafaka sasa vijana hawa wenye wivu na chuki wakiongozwa na Bdzn,Sudy,Ayo kujiangalia upya na kuacha chuki zao kwani ipo siku platnumz atakuja kuwa bosi wao.
Diamond ameonyesha mfano wa kuigwa kwa kuendesha wasafi bila ubaguzi, wasafi inacheza ngoma zote bila ubaguzi japo, imeshawaita baadhi ya wasanii kwenye interview lakini wanakataa sababu ya chuki binafsi.
Kun watu ndugu wamebakiwa na akili za kuendea chooni. Eti Diamond anawaita interview hawaji kwani kusaga ndio alikuwa anaita watu clouds!!? Mengi R.I.P ndio alikuwa anaita watu interviw Radio one!!?? Wanashindwa kutofautisha uendeshaji na ummiliki. Na katika. Umiliki kuna vipindi vinamilikiwanna watu tofauti na mmiliki wa mediahouse.... Kuna watu wana makamasi vchwani badala ya ubongoKusaga anamiliki 51pc ya Wasafi
Kitenge amekuwepo EFM hajawahi wasumbua Clouds
Kumwembe sijawahi elewa anaongea nini.
Uzuri ni kuwa kwenye faida bado wenye Clouds wanapata 51
Mkuu, unaelewa maana ya kumiliki share? Mond awe kila kitu kivipi?wasafi ni icon ya mond hata kusaga awe na share kiasi gani pale mond ndio kila kitu
Billgate ameuza share zake na wewe subiri Joseph Kusaga auze share zake huko WCB.Acheni porojo nyie, naamini sote tunaifahamu MICROSOFT inayomilikiwa na Bill Gates. Je, mnafahamu share zao zipoje? Kwa taarifa tu, anayeongoza kwa hisa nyingi pale sio bwana Gates, ni aliyekuwa C.E.O wa Microsoft kuanzia mwaka 2000 hadi 2013 bwana Steve Ballmer akiwa na hisa 28%, ndo anafatia Bill Gates 24%.
Huyu Ballmer sio co-founder wala nini ni muajiliwa tu na Gates mwenyewe ndo alimuajili... Sasa hapo nani mmiliki halali wa Microsoft? Tuache kujifanya tunajua sana mambo ya hisa wakati vichwani weupe.
Wasafi ni ya Mond na ye ndo kila kitu pale licha ya hisa anazomiliki...
Kaka why unaongea pumba?Endelea kuona Mange ndio informer wako kusaga hana shea yoyote wasafi tv or fm nenda kaangalia umiliki wa ile tv tcra hakuna jina la
Kusaga wala mke wake pale
Hilo la Kusaga kumiliki share mwenyewe alikanusha wazi hana hisa Wasafi.Kusaga anamiliki 51pc ya Wasafi
Kitenge amekuwepo EFM hajawahi wasumbua Clouds
Kumwembe sijawahi elewa anaongea nini.
Uzuri ni kuwa kwenye faida bado wenye Clouds wanapata 51
"Do not argue with a fool. He will drag you down to his level and beat you with experience."Unajua maana ya shareholders??
Acha mihemuko ya Ushabiki Kisulisuli