Kama Diamond anamuajiri Kitenge na Kumwembe basi jamaa wa pale Mawingu wajitazame upya

Mi nahisi unawaonea ao kina Ayo tatizo ni Boss wao
Kama Diamond kaweza kutumia ushawishi wake na uwezo wake wa fedha kuwavutia Edo na na Kitenge kukubali kusainiwa na wasafi media

Basi ni mda muafaka kwa kunguni wa pale mawingu kujiangalia upya kuwa Platnumz sio level yao, ni muda muafaka sasa vijana hawa wenye wivu na chuki wakiongozwa na Bdzn,Sudy,Ayo kujiangalia upya na kuacha chuki zao kwani ipo siku platnumz atakuja kuwa bosi wao.

Diamond ameonyesha mfano wa kuigwa kwa kuendesha wasafi bila ubaguzi, wasafi inacheza ngoma zote bila ubaguzi japo, imeshawaita baadhi ya wasanii kwenye interview lakini wanakataa sababu ya chuki binafsi.
 
Kusaga anamiliki 51pc ya Wasafi

Kitenge amekuwepo EFM hajawahi wasumbua Clouds
Kumwembe sijawahi elewa anaongea nini.

Uzuri ni kuwa kwenye faida bado wenye Clouds wanapata 51
Endelea kuona Mange ndio informer wako kusaga hana shea yoyote wasafi tv or fm nenda kaangalia umiliki wa ile tv tcra hakuna jina la
Kusaga wala mke wake pale
 
Kama Diamond kaweza kutumia ushawishi wake na uwezo wake wa fedha kuwavutia Edo na na Kitenge kukubali kusainiwa na wasafi media

Basi ni mda muafaka kwa kunguni wa pale mawingu kujiangalia upya kuwa Platnumz sio level yao, ni muda muafaka sasa vijana hawa wenye wivu na chuki wakiongozwa na Bdzn,Sudy,Ayo kujiangalia upya na kuacha chuki zao kwani ipo siku platnumz atakuja kuwa bosi wao.

Diamond ameonyesha mfano wa kuigwa kwa kuendesha wasafi bila ubaguzi, wasafi inacheza ngoma zote bila ubaguzi japo, imeshawaita baadhi ya wasanii kwenye interview lakini wanakataa sababu ya chuki binafsi.
We jamaa ungejua Milard Ayo kila siku anatimba ofisi za Wasafi wala usinge muweka kwenye hiyo list na hao machoko.
 
Kama Diamond kaweza kutumia ushawishi wake na uwezo wake wa fedha kuwavutia Edo na na Kitenge kukubali kusainiwa na wasafi media

Basi ni mda muafaka kwa kunguni wa pale mawingu kujiangalia upya kuwa Platnumz sio level yao, ni muda muafaka sasa vijana hawa wenye wivu na chuki wakiongozwa na Bdzn,Sudy,Ayo kujiangalia upya na kuacha chuki zao kwani ipo siku platnumz atakuja kuwa bosi wao.

Diamond ameonyesha mfano wa kuigwa kwa kuendesha wasafi bila ubaguzi, wasafi inacheza ngoma zote bila ubaguzi japo, imeshawaita baadhi ya wasanii kwenye interview lakini wanakataa sababu ya chuki binafsi.
Usingewaita binadamu wenzako kunguni ...point yako isingeeleweka!!?? Acha chuki na ushabiki wa kipuuzi.... Utafanikiwa yaani kwa huu mwandiko wako unaonyesha unachuki kali sana
 
Kusaga anamiliki 51pc ya Wasafi

Kitenge amekuwepo EFM hajawahi wasumbua Clouds
Kumwembe sijawahi elewa anaongea nini.

Uzuri ni kuwa kwenye faida bado wenye Clouds wanapata 51
Kun watu ndugu wamebakiwa na akili za kuendea chooni. Eti Diamond anawaita interview hawaji kwani kusaga ndio alikuwa anaita watu clouds!!? Mengi R.I.P ndio alikuwa anaita watu interviw Radio one!!?? Wanashindwa kutofautisha uendeshaji na ummiliki. Na katika. Umiliki kuna vipindi vinamilikiwanna watu tofauti na mmiliki wa mediahouse.... Kuna watu wana makamasi vchwani badala ya ubongo
 
Acheni porojo nyie, naamini sote tunaifahamu MICROSOFT inayomilikiwa na Bill Gates. Je, mnafahamu share zao zipoje? Kwa taarifa tu, anayeongoza kwa hisa nyingi pale sio bwana Gates, ni aliyekuwa C.E.O wa Microsoft kuanzia mwaka 2000 hadi 2013 bwana Steve Ballmer akiwa na hisa 28%, ndo anafatia Bill Gates 24%.

Huyu Ballmer sio co-founder wala nini ni muajiliwa tu na Gates mwenyewe ndo alimuajili... Sasa hapo nani mmiliki halali wa Microsoft? Tuache kujifanya tunajua sana mambo ya hisa wakati vichwani weupe.

Wasafi ni ya Mond na ye ndo kila kitu pale licha ya hisa anazomiliki...
 
Billgate ameuza share zake na wewe subiri Joseph Kusaga auze share zake huko WCB.
 
Back
Top Bottom