Diamond hawezi kuwaajiri, ni Joe Kusaga ndio amewapa kazi. Diamond kazi yake ni kuwa mbele tu, ya nyuma ya pazia wanafanya mabosi wake Joe na mkewe na wengine wachache.
hakuna mtu anachuki na diamond kijana,,kwanza diamond ni kijana mfano kwa vijana wengi wa Tanzania kwa juhudi zake na alipotoka hadi hapa alipo now,,na kila mtanzania mpenda maendeleo lazma amuombe afike mbali zaidi azidi kutoa ajira kwa vijana wenzie,,kinachopingwa hapo ni kusema diamond anamiliki hiyo wa wasafi media na wakati yeye ni shareholder wakimkakati tu kufanikisha lengo la watu kupiga pesa kwa kutengeneza ushindani fake kati ya clouds na wasafi na wakati zote ni za mtu mmoja ...mastermind wa huo mchezo wote ni bwana kusaga..huyo juhaina apo kwenye iyo list ni mkewe..sasa diamond kama ni kweli ana ugomvi na clouds ya kusaga akashirikiane na mtu anaelala nae kila Siku ..ebu tumieni ubongo kidogo vijana..why mnachotwa akili kiupesi sana . .mtu anapiga pesa.Acha uwongo,Diamond alivyopambana kuisimamisha Wasafi leo mtu aitumie kizembe bila yeye mwenyewe kunufaika,atakua mpumbavu basi,kwa mtu aliyeanzia chini kabisa tunamuona leo anamiliki 45% ya media house mnaona ni kitu kidogo?hebu tupunguze chuki kidogo,kijana amepambana.View attachment 1237015
[/QUOTE
Kwahiyo diamond apigi pesa? anawatengenezea watu pesa? we jamaa una akili ndogo sanahakuna mtu anachuki na diamond kijana,,kwanza diamond ni kijana mfano kwa vijana wengi wa Tanzania kwa juhudi zake na alipotoka hadi hapa alipo now,,na kila mtanzania mpenda maendeleo lazma amuombe afike mbali zaidi azidi kutoa ajira kwa vijana wenzie,,kinachopingwa hapo ni kusema diamond anamiliki hiyo wa wasafi media na wakati yeye ni shareholder wakimkakati tu kufanikisha lengo la watu kupiga pesa kwa kutengeneza ushindani fake kati ya clouds na wasafi na wakati zote ni za mtu mmoja ...mastermind wa huo mchezo wote ni bwana kusaga..huyo juhaina apo kwenye iyo list ni mkewe..sasa diamond kama ni kweli ana ugomvi na clouds ya kusaga akashirikiane na mtu anaelala nae kila Siku ..ebu tumieni ubongo kidogo vijana..why mnachotwa akili kiupesi sana . .mtu anapiga pesa.
Hivi unaelewa unachokiongea kweli?Diamond ni sehemu ya wamiliki wa Wasafi media,kwahiyo unachomaanisha 45% ni geresha tu kwamba kuna watu wananufaika zaidi?hivi kweli inaingia akilini kwa mtu aliyepambania wasafi mpaka imesimama kama brand kubwa halafu leo eti itumike kimkakati bila ya yeye kunufaika?sidhani Diamond ni falaa kihivyo!hakuna mtu anachuki na diamond kijana,,kwanza diamond ni kijana mfano kwa vijana wengi wa Tanzania kwa juhudi zake na alipotoka hadi hapa alipo now,,na kila mtanzania mpenda maendeleo lazma amuombe afike mbali zaidi azidi kutoa ajira kwa vijana wenzie,,kinachopingwa hapo ni kusema diamond anamiliki hiyo wa wasafi media na wakati yeye ni shareholder wakimkakati tu kufanikisha lengo la watu kupiga pesa kwa kutengeneza ushindani fake kati ya clouds na wasafi na wakati zote ni za mtu mmoja ...mastermind wa huo mchezo wote ni bwana kusaga..huyo juhaina apo kwenye iyo list ni mkewe..sasa diamond kama ni kweli ana ugomvi na clouds ya kusaga akashirikiane na mtu anaelala nae kila Siku ..ebu tumieni ubongo kidogo vijana..why mnachotwa akili kiupesi sana . .mtu anapiga pesa.
😂😂😂 wewe upo huko unasikiliza wasafi FM na hujui Mimi nina mkataba wa ajira hapa wasafi media na boss wangu mkuu ni mondi huyo Joe anazugaga kupiga storyHawezi, bosi wake Joe ndio yupo juu ya kila kitu. Amekuwa bosi wake miaka yote tangu aanze kuwakawaka.
Hata mimi hua nasikiliza sport extra tuHio xxl nisha acha kuskiliza kitambo
Kusaga anamiliki 51pc ya Wasafi
Kitenge amekuwepo EFM hajawahi wasumbua Clouds
Kumwembe sijawahi elewa anaongea nini.
Uzuri ni kuwa kwenye faida bado wenye Clouds wanapata 51
Clouds ni miaka takriban 9 sasa siwasikilizi
Na wewe buana unaandika kama sio wa mjini?,Mawingu na Wasafi si za mtu mmoja?
Kajifunze hisa zipoje na zina Maana gani ndio urudi kubishaina maana ukisema hawezi unamaanisha Hata share/hisa za diamond Radioni kapewa kama zuga tu ila hana mamlaka nazo
au unataka kusema? maana hawezi vipi sasa
kabla sijajifunza,ebu ujue tofautisha mtu anaebisha na anae ulizaKajifunze hisa zipoje na zina Maana gani ndio urudi kubisha