N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,427
- 10,905
Acha ulongo wewe hiyo redio anamiliki diamond na dada wa zanzibar kusaga hana stakes hata 0% humo
Juhayna Zaghalulu Ajmy 53%
Nasib Abdul Juma Isaack 45%
Na jamaa mmoja anaitwa Ali Dai ana 2%
Yuko wapi Kusaga hapo...acheni wudesi
Watanzania baadhi ni watu wasiopenda kuona wenzao wakitusua,mondi is wealthy hilo tukubali kwamba dogo anatupa challenge, tukubali hayo badala ya kuponda tu na kuwapa kichwa wasiostahili!

Diamond hawezi kuwaajiri, ni Joe Kusaga ndio amewapa kazi. Diamond kazi yake ni kuwa mbele tu, ya nyuma ya pazia wanafanya mabosi wake Joe na mkewe na wengine wachache.