Kama dunia inazunguka, kwanini miamba na milima haiporomoki? Na kwa nini bahari isimwage maji yake?

What will happen kama dunia ikipoteza force of gravity;je vitu vitangukia wapi
Force of gravity ndiyo inayosababisha sayari zote zizunguke jua.force of gravity iko Kati ya vitu vyovyote viwili kwenye uzito.Hata kati yako na kajiwe.sema Ni ndogo Sana.
Kama hizi force ikiondoka Basi itakuwa Ni mwisho wa dunia na sayari zote.
Ila sidhani kama itatokea.labda black holes ndo zitakazomaliza universe yetu.Ila tutakuwa tushakufa kabla haijatokea kwasababu mpaka jua liishiwe nguvu na kuwa black hole mbali Sana.
 
Nadhani hicho chombo kitakwenda Galaxy nyingine ambayo sio milky way
 
Hapo ndiyo ujue Mungu Mkubwa. Uumbaji wake hata wanasayansi waliobobea duniani hawaoni ndani hata chembe.

 
Kuna swali kauliza bwana mmoja halijajibiwa wakuu"" kama mtu ukiruka na chombo angani ukiwa hapa dar na ukakaa stationary kwa masaa kazaa huko angani atakaporudi ardhini anaweza kujikuta eneo tofauti na dar?"""
Dunia inazunguka pamoja na anga yake.kama uko kwenye anga ya dunia utakapo rudi utajikuta bado upo Dar.Lakini kama ulipaa ukafika nje ya anga ya mvutano wa dunia ukirudi utakuta Dar imehama.
 
Nashukuru kaka dah
 
Suala la kumwagika maji au milima kuanguka ndio tija nyingngine inayoonyesha dunia inazunguka tena kwa speed kubwa sana mpaka vitu hivo haviwezi move out of the earth bali vitabaki sehem ilipo

Ni kama vile ukizungusha ndoo iliyojaa maji, kama ukiizungusha kwa speed kubwa maji hayo hayawez mwajika bali yataendelea kubak kwenye ndoo hiyo.
 
Inajizungusha katika speed ya ngapi katika mhimili wake,?na ngapi kuzunguka jua?
 
Mkuu kama weight ya dunia itapotea kwa space shuttles kwenda anga la mbali,je huoni kutabalance maana generation itakayozaliwa itabidi iwe inaconsume less materials than us,?from earth?
 
Nimeweka hii link kuonesha kinachotokea mara nguvu ya mvutano inapokuwa haipo... hii ni international space station ambayo iko kwenye orbit..na wanasayansi wanaoishi huko wanaweza kuiona dunia inavyozunguka..kwenye space hakuna gravitational force..na ndo maana unaona huyu astronaut wa ASA anaelea tu..zipo pia video nyingi zinazoendana na hii ukiangalia unaweza kujifunza zaidi
 
Hapo Umesahahu idadi ya watu na wa nyama inaongezeka na kuongeza uzito? Mimi huwa nafikiria kuhamisha uzito kutoka sehemu moja na kuelemea upande tofauti kama vile kuchimba mchanga Kokoto nk. Unzitoa polini na kujaza mjini.
 
Hili swali nimekuwa nikijiuliza kipindi mtoto
 
daah hili swali huwa najiuliza toka primary yaani!
Chukua kamba funga jiwe anza kulizungusha litengeneze duara , ww unakuwa kama jua na jiwe ndo dunia , mvutano kat ya ww(jua) na jiwe(dunia) ambao kamba unafeel ndo gravity, sasa vuta picha kamba imekatika utapata jibu dunia(jiwe) itaelekea wap.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…