Kama dunia isingekuwepo, kungekuwa na nini?

Kama dunia isingekuwepo, kungekuwa na nini?

issa ramadhani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2014
Posts
1,319
Reaction score
260
Wadau,

Huwa najiuliza sana hili swali; hivi kama kungekuwa hakuna dunia kungekuwa na nini? Naombeni tufikiri na tujuzane, kungeweza labda kuwa na nini?

Karibuni.
 
Dunia ni Sayari na haiko peke yake, kuna Sayari tisa/ nane, na zote zinazunguka jua, hivyo anzia hapo kwanza kufikiria na pengine utapata jibu!
 
Actually siku si nyingi Dunia itapigwa na jiwe kubwa. Kuna uwezekano viumbe hai wakafutika likabaki dubwana kama vile mars na maji pekee, mimawe mawe na mchanga.
 
Wadau huwa najiuliza sana hili swali, hivi kama kungekuwa hakuna dunia kungekuwa na nini? Naombeni tufikiri na tujuzane kungeweza labda kuwa na nini.

Karibuni
Fafanua /unalenga kipi hasa.
Unazungumzia Earth manake kwenye jua hili ziko sayari 9
lakini katika Anga kuna ma ''hexabilion light years stars'' ambazo ni jua nazo zimezungukwa na sayari zake na pia kuna viumbe.
Ni soma pana sana.
Hutaweza kulielewa.
 
Nadhani hata wewe usingeweza kuleta mada kama hii na mimi pia nisingeweza jibu post yako kama ivi.
 
Swali excellent la falsafa, ndio utajua sasa 'u muhimu wa NIKO AMBAYE NIKO' na jina lake milele. Wanafalsafa wengi walijiuliza swali hilo hadi mfano akina Thales wakasema hivi nini kinacho fanya vingine vi move bila chenyewe ku move au unmoved mover. Hadi wakina Empedocles wakaingia ndani ya kilele cha mlima kama kilimanjaro kwenye barafu juu ili kutafuta nini chanzo kama wewe leo unauliza. Swali ZURI na Tufikiri vizuri.
 
Wadau,

Huwa najiuliza sana hili swali; hivi kama kungekuwa hakuna dunia kungekuwa na nini? Naombeni tufikiri na tujuzane, kungeweza labda kuwa na nini?

Karibuni.

Dunia (Earth) ni sayari mojawapo kati ya sayari tisa zilizopo katika Ulimwengu (Universe). Kama Dunia isingekuwepo basi zingebaki sayari nane.

CC lukelo sakafu
 
Last edited by a moderator:
Ingekuwepo nyumba yangu na gari yangu na mimi tu.
 
Dunia (Earth) ni sayari mojawapo kati ya sayari tisa zilizopo katika Ulimwengu (Universe). Kama Dunia isingekuwepo basi zingebaki sayari nane.

CC lukelo sakafu

Mkuu kasome tena! Hii universe ina billion of stars na hizo stars zina planets kibao. Labda kama unazungumzia planet zinazolizunguka jua letu ila sio universe.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom