mkosafedha
JF-Expert Member
- May 19, 2015
- 1,330
- 277
Katika universe kuna millions of galax kaka....katika mzungoko ambapo dunia yetu ipo kuna sayar kama tisa...sasa mtoa mada afikirie katika upana huu kwamba hii galax yetu ina sayar tisa na kuna millions of galax katika universe.....wanasayansi hawajaweza kugundua hata nusu ya kilichopo katika galax ambayo dunia ipo ndani yake...maana yake kuna uwezekano mkubwa sana katika hizo galax nyingine kuna sayari ambazo viumbe vinaishi kama sisi na kuamini Miungu wao na wana historia kama kama zetu...so mleta uzi asiongelee dunia bali universe na galax zake ambazo sayansi haijaweza kugundua bado......kuna watu wanaamini binadamu ni uumbaji wa viumbe vingine kutoka galax za mbali...wengine wanasema dunia ni jela ya wafungwa kutoka galax nyingine...wengine wanasema ni harvest field...ila yote ya yote kama mtoa mada anamaanisha dunia basi jibu rahisi ni kuwa tungekuwa na sayari na galax nyingine kama dunia isingekwepo
Wadau,
Huwa najiuliza sana hili swali; hivi kama kungekuwa hakuna dunia kungekuwa na nini? Naombeni tufikiri na tujuzane, kungeweza labda kuwa na nini?
Karibuni.
Kungekua na pluto.