Kama dunia isingekuwepo, kungekuwa na nini?

Fafanua /unalenga kipi hasa.
Unazungumzia Earth manake kwenye jua hili ziko sayari 9
lakini katika Anga kuna ma ''hexabilion light years stars'' ambazo ni jua nazo zimezungukwa na sayari zake na pia kuna viumbe.
Ni soma pana sana.
Hutaweza kulielewa.
hii elimu ya sayari kuwa tisa ilishabadilika kitambo. Fanya update maarifa mkuu yanabadilika kila siku.
 
Dunia ni Sayari na haiko peke yake, kuna Sayari tisa/ nane, na zote zinazunguka jua, hivyo anzia hapo kwanza kufikiria na pengine utapata jibu!

dunia na sayari tunazojua zipo ni upeo wa sayansi kwa sasa, ukweli halisi bado, dini na sayansi vinataja mwanzo, lakini miaka trilions of trilions kulikuwaje? je umbali wa trilions of trilions of miles kuna nini? hakuna jibu toka sayansi, dini watakuona unakufuru!
 
Kumbe Mada inahusu ulingansisho kati ya Sayansi na Dini, basi nahisi labda sikuielewa vizuri!
 
Wadau,

Huwa najiuliza sana hili swali; hivi kama kungekuwa hakuna dunia kungekuwa na nini? Naombeni tufikiri na tujuzane, kungeweza labda kuwa na nini?

Karibuni.
Kungekuapo na bonge la Bangi kubwa ya kuweza kuvuta dunia nzima na tukanesa.
 
hii elimu ya sayari kuwa tisa ilishabadilika kitambo. Fanya update maarifa mkuu yanabadilika kila siku.

ni kweli mkuu pluto is not regarded as planet since 2006 kwa sabab ina lack some characteristics of a heavenly body to be called a planet.
 
Dunia ni Sayari na haiko peke yake, kuna Sayari tisa/ nane, na zote zinazunguka jua, hivyo anzia hapo kwanza kufikiria na pengine utapata jibu!

yah ni kwel mkuu,sasa kama ingekuwa haipo katika hizo sayar nane kungekuwa na nini mkuu?
 
Kama umetambua uwepo wa sayari pia unapaswa utambue kwenye hizo sayari nyingine kuna nini, na ni kwanini viumbe hai vinaweza kuishi kwenye sayari yetu lkn haviwezi kuishi kwenye sayari nyingine!
Yaani ni nini kinafanya tuweze kuishi kwenye sayari yetu ambapo nafikiri sio ngumu kujua jaribu kujielimisha kuhusu green gases na mambo ya ukanda wa ozoni ambao unazuia au unapunguza ukali wa mionzi ya jua kufikia Dunia yetu hali inayopelekea Dunia yetu kuwa na mazingira rafiki kwa viumbe hai kama sisi kuweza kuishi hali ambayo inakosekana kwenye sayari nyingine hivyo kama tukiharibu ukanda wa ozoni unaotulinda kama tunavyofanya sasa basi huenda pia maisha ya viumbe hai kwenye sayari yetu yakapotea kwani Mionzi ya Jua itatufikia bila kuchunjwa na hivyo kuchoma kila kitu na ndio maana sasa hivi moja kati ya changamoto kubwa ni jinsi ya kupunguza Hewa ya CO2 inayotolewa Viwanda!
 
Katika universe kuna millions of galax kaka....katika mzungoko ambapo dunia yetu ipo kuna sayar kama tisa...sasa mtoa mada afikirie katika upana huu kwamba hii galax yetu ina sayar tisa na kuna millions of galax katika universe.....wanasayansi hawajaweza kugundua hata nusu ya kilichopo katika galax ambayo dunia ipo ndani yake...maana yake kuna uwezekano mkubwa sana katika hizo galax nyingine kuna sayari ambazo viumbe vinaishi kama sisi na kuamini Miungu wao na wana historia kama kama zetu...so mleta uzi asiongelee dunia bali universe na galax zake ambazo sayansi haijaweza kugundua bado......kuna watu wanaamini binadamu ni uumbaji wa viumbe vingine kutoka galax za mbali...wengine wanasema dunia ni jela ya wafungwa kutoka galax nyingine...wengine wanasema ni harvest field...ila yote ya yote kama mtoa mada anamaanisha dunia basi jibu rahisi ni kuwa tungekuwa na sayari na galax nyingine kama dunia isingekwepo
 
mkuu ni kweli ozone layer ni moja ya layer inayopunguza suns rays on the earths surface.
 
ok,na ni kweli,vipi na viumbe vilivyopo ingekuaje
 
Sasa hapo ni kitu kingine ambacho sikijui...kuna kitu nilikuwa nasoma sasa hv kwamba mbali na kuwa katika univese kuna galax nyingi zenye sayar zake ila pia kwenye space kuna univese nyingi zenye galax na sayar zake.....hii mada ni kubwa sana inahitaji uelewa mkubwa sana wa haya mambo ambao mi kusema kweli sina
 
kuna mtu mmoja aliniuliza unafanyaje endapo utaamka asubhi ila unapofungua mlango utoke unakuta nje haipo
 
Wadau,

Huwa najiuliza sana hili swali; hivi kama kungekuwa hakuna dunia kungekuwa na nini? Naombeni tufikiri na tujuzane, kungeweza labda kuwa na nini?

Karibuni.

Kabla ya dunia kuwepo kulikuwaje?
Kasome biblia mwanzo 1;1- utapata majibu ya uhakika
 
kuna mtu mmoja aliniuliza unafanyaje endapo utaamka asubhi ila unapofungua mlango utoke unakuta nje haipo

Hahaaaa hii kitu imenipa kicheko, bila shaka huyo jamaa yako alikua ashavuta cha arusha
 
Hahahahaaa...kuna movie flani mpya ya 2015...yupo jackbaur yule wa 24 ni sci-artificial flan...sasa jamaa mji wao haunaga mchana wao ni usiku tuu wakilala wakiamka ni night siku moja afisa mpelelezi akaona afanye utafiti kwa kufunja ukuta ambao ndo ilikuwa uzio wa mji si akakuta ni anga yaani hakuna nnje....

Kweli sijui itakuwaje siku unaamka then unakuta nnje haipo yaani tunaelea jujuu tuu...nadhani siku hiyo itakuwa ni maombi,sala na tobaa kwa kwenda mbelee....

Back to the topic...Mwenyezi Mungu ni Mkuu na hapo ndipo anaonyesha uwepo wake, yaani ametupa sie binadamu kikomo cha kung'amua mambo ya uumbaji wake...ili tujue ya kwamba yupo aliyekuwepo na atakuwepo milele yote...kabla ya kuumbwa mbingu na nchi alikuwapo....

Nilipokuwa mdogo nilikuwa nasumbuliwa sanaa na hilo swali...nilipopata mafundisho ya dini..kuna hadithi flani inasema malaika wa bwana alimtokea mtu mmoja mtumishi wa Mungu aliekuwa anajiuliza swali la aina yako..malaika akamuuliza unaweza hesabu mchanga wa beach? Mtumishi akajibu siwezi basi Malaika akamwambia ndivyo hivyo ambavyo wajuzi, wanasayansi hawawezi jua siri ya uumbaji na uwepo wa Mungu...so mambo mengine unayaacha kama yalivyo ili utukufu wa Mwenye Enzi uonekane....
 
???????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
Back
Top Bottom