issa ramadhani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 1,319
- 260
Fafanua /unalenga kipi hasa.Wadau huwa najiuliza sana hili swali, hivi kama kungekuwa hakuna dunia kungekuwa na nini? Naombeni tufikiri na tujuzane kungeweza labda kuwa na nini.
Karibuni
Zingekuwepo mbingu na nchi
Wadau,
Huwa najiuliza sana hili swali; hivi kama kungekuwa hakuna dunia kungekuwa na nini? Naombeni tufikiri na tujuzane, kungeweza labda kuwa na nini?
Karibuni.
Actually siku si nyingi Dunia itapigwa na jiwe kubwa. Kuna uwezekano viumbe hai wakafutika likabaki dubwana kama vile mars na maji pekee, mimawe mawe na mchanga.
Ingekuwepo nyumba yangu na gari yangu na mimi tu.
Dunia (Earth) ni sayari mojawapo kati ya sayari tisa zilizopo katika Ulimwengu (Universe). Kama Dunia isingekuwepo basi zingebaki sayari nane.
CC lukelo sakafu
Wewe ungekua umezaliwa na nani?
Gari yako ungeipata wapi?
Na nani angetengeneza Nondo,.Cement, Mbao, Bati,.Rangi