hii elimu ya sayari kuwa tisa ilishabadilika kitambo. Fanya update maarifa mkuu yanabadilika kila siku.Fafanua /unalenga kipi hasa.
Unazungumzia Earth manake kwenye jua hili ziko sayari 9
lakini katika Anga kuna ma ''hexabilion light years stars'' ambazo ni jua nazo zimezungukwa na sayari zake na pia kuna viumbe.
Ni soma pana sana.
Hutaweza kulielewa.
Dunia ni Sayari na haiko peke yake, kuna Sayari tisa/ nane, na zote zinazunguka jua, hivyo anzia hapo kwanza kufikiria na pengine utapata jibu!
dunia na sayari tunazojua zipo ni upeo wa sayansi kwa sasa, ukweli halisi bado, dini na sayansi vinataja mwanzo, lakini miaka trilions of trilions kulikuwaje? je umbali wa trilions of trilions of miles kuna nini? hakuna jibu toka sayansi, dini watakuona unakufuru!
Kungekuapo na bonge la Bangi kubwa ya kuweza kuvuta dunia nzima na tukanesa.Wadau,
Huwa najiuliza sana hili swali; hivi kama kungekuwa hakuna dunia kungekuwa na nini? Naombeni tufikiri na tujuzane, kungeweza labda kuwa na nini?
Karibuni.
Dunia ni Sayari na haiko peke yake, kuna Sayari tisa/ nane, na zote zinazunguka jua, hivyo anzia hapo kwanza kufikiria na pengine utapata jibu!
hii elimu ya sayari kuwa tisa ilishabadilika kitambo. Fanya update maarifa mkuu yanabadilika kila siku.
Angekuwepo yule ambaye aliyeiumba dunia (mwenye uwezo wa kuumba), The Omnipotent.
Dunia ni Sayari na haiko peke yake, kuna Sayari tisa/ nane, na zote zinazunguka jua, hivyo anzia hapo kwanza kufikiria na pengine utapata jibu!
yah ni kwel mkuu,sasa kama ingekuwa haipo katika hizo sayar nane kungekuwa na nini mkuu?
Kama umetambua uwepo wa sayari pia unapaswa utambue kwenye hizo sayari nyingine kuna nini, na ni kwanini viumbe hai vinaweza kuishi kwenye sayari yetu lkn haviwezi kuishi kwenye sayari nyingine!
Yaani ni nini kinafanya tuweze kuishi kwenye sayari yetu ambapo nafikiri sio ngumu kujua jaribu kujielimisha kuhusu green gases na mambo ya ukanda wa ozoni ambao unazuia au unapunguza ukali wa mionzi ya jua kufikia Dunia yetu hali inayopelekea Dunia yetu kuwa na mazingira rafiki kwa viumbe hai kama sisi kuweza kuishi hali ambayo inakosekana kwenye sayari nyingine hivyo kama tukiharibu ukanda wa ozoni unaotulinda kama tunavyofanya sasa basi huenda pia maisha ya viumbe hai kwenye sayari yetu yakapotea kwani Mionzi ya Jua itatufikia bila kuchunjwa na hivyo kuchoma kila kitu na ndio maana sasa hivi moja kati ya changamoto kubwa ni jinsi ya kupunguza Hewa ya CO2 inayotolewa Viwanda!

Katika universe kuna millions of galax kaka....katika mzungoko ambapo dunia yetu ipo kuna sayar kama tisa...sasa mtoa mada afikirie katika upana huu kwamba hii galax yetu ina sayar tisa na kuna millions of galax katika universe.....wanasayansi hawajaweza kugundua hata nusu ya kilichopo katika galax ambayo dunia ipo ndani yake...maana yake kuna uwezekano mkubwa sana katika hizo galax nyingine kuna sayari ambazo viumbe vinaishi kama sisi na kuamini Miungu wao na wana historia kama kama zetu...so mleta uzi asiongelee dunia bali universe na galax zake ambazo sayansi haijaweza kugundua bado......kuna watu wanaamini binadamu ni uumbaji wa viumbe vingine kutoka galax za mbali...wengine wanasema dunia ni jela ya wafungwa kutoka galax nyingine...wengine wanasema ni harvest field...ila yote ya yote kama mtoa mada anamaanisha dunia basi jibu rahisi ni kuwa tungekuwa na sayari na galax nyingine kama dunia isingekwepo
We nani kakwambia ungekuwepo?na sisi mkuu tungekuwa wapi pamoja na viumbe wengine
Wadau,
Huwa najiuliza sana hili swali; hivi kama kungekuwa hakuna dunia kungekuwa na nini? Naombeni tufikiri na tujuzane, kungeweza labda kuwa na nini?
Karibuni.
kuna mtu mmoja aliniuliza unafanyaje endapo utaamka asubhi ila unapofungua mlango utoke unakuta nje haipo
Hahaaaa hii kitu imenipa kicheko, bila shaka huyo jamaa yako alikua ashavuta cha arusha