Kama dunia isingekuwepo, kungekuwa na nini?


Wadau,

Huwa najiuliza sana hili swali; hivi kama kungekuwa hakuna dunia kungekuwa na nini? Naombeni tufikiri na tujuzane, kungeweza labda kuwa na nini?

Karibuni.

Kungekua na pluto.
 
Hahaha, swali la ajabu sana ndugu yangu.

Kwanini unauliza kama dunia isingekwepo ingekuwaje, wakati ipo? Ni kama unapingana na wakati uliopo kwa kufikiria wakati ambao haupo. Kama dunia isingekwepo labda maisha na mfumo mzima wa ulimwengu ungekuwa tofauti na ulivyo hivi sasa, lakini kwa kuwa hivi sasa upo hivi basi jifunze zaidi na uzidi kujifunza maajabu ya ulimwengu.

Mtu anayeuliza swali kama hilo ni mtu aliyeshindwa kufahamu umuhimu wa wakati uliopo na kujikuta unawaza hali na nyakati ambazo hazipo hivi sasa. Live here, at now, with full of awareness. Hicho ndicho kinachotakiwa, usipingane na hali iliyopo kwani ipo kwa malengo maalum.
 
dunia isengekuwepo ina maana na wewe usingekuwepo.
kama haupo then ili swali la kuuliza dunia halipo kwa sababu haukuwepo.
 
hebu fafanua vizuri kijana,ulitaka kusema kusingekuwa na dunia au kusingekuwa na ulimwengu?dunia ni sayari tu iliyopo angani,lakini ulimwengu ni anga pamoja na vitu vyote vilivyomo angani zikiwemo sayari zote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…