Ntemi_Ntale
Member
- Aug 23, 2026
- 20
- 16
Serikali ilitenga Billioni 730 kwa ajili ya kujiandaa na kukabiliana na athari za Mvua za Elnino zilizotabiliwa kuanza kunyesha kuanzia Mwezi october .
Pia Serikali ilibainisha kuwa kama fedha hizo hazitatosha basi kitaongezwa kiasi kingine kuendelea kukabiliana na athari ya mvua hizo ambazo zinaweza kujitokeza.
Sasa swali langu ni kwanga ,Iwapo Mvua hizo za Elnino hazitatokea ,hizo 730 bilioni zilizotengwa zitapelekwa wapi??
Soma