Kama Elnino haitatokea unahisi zile Bilioni 730 za Bajeti watazifanyia nini ?

Kama Elnino haitatokea unahisi zile Bilioni 730 za Bajeti watazifanyia nini ?

Unahisi Kipi kati ya Hivyi:-

  • zitapangiwa kazi nyingine

    Votes: 1 4.5%
  • Zitatafunwa Vibaya Mno

    Votes: 10 45.5%
  • Zitapotea isijulikane zimeenda wapi

    Votes: 6 27.3%
  • Atajua CAG

    Votes: 2 9.1%
  • Hata mimi sijuwi

    Votes: 3 13.6%

  • Total voters
    22
Serikali ilitenga Billioni 730 kwa ajili ya kujiandaa na kukabiliana na athari za Mvua za Elnino zilizotabiliwa kuanza kunyesha kuanzia Mwezi october .

Pia Serikali ilibainisha kuwa kama fedha hizo hazitatosha basi kitaongezwa kiasi kingine kuendelea kukabiliana na athari ya mvua hizo ambazo zinaweza kujitokeza.

Sasa swali langu ni kwanga ,Iwapo Mvua hizo za Elnino hazitatokea ,hizo 730 bilioni zilizotengwa zitapelekwa wapi??

Soma
Mbona zimeshatumika? Hujaona maghorofa yanayoporomoshwa mbezi na mbweni?
 
Huwa najiuliza ule mradi wa kuvua mchanga pale darajani Dumila Morogoro ni wa nani? Kwanini mieka nenda rudi hawatafuti suluhu nyingine ya kudumu? Au wajenge daraja jingine sehemu nyingine au wajenge daraja la nguzo tokea njiapanda ya Kilosa?
 
Fedha zinalenga vitu viwili:
1. Kuzuia au kupunguza madhara ya Elnino
2. Kusaidia wahanga kama majanga yatajitokeza.

Hivyo basi hadi sasa fedha zinaendelea kutumika kwa ahughuli mbalimbali kama kusafisha/ kupanua mitaro na kuchimba mitaro mipya. Kuhamisha watu wanaishi mabondeni n.k.

Ikiwa majanga hayatatokei fedha kidogo zitakazo kuwa zimebaki zitaendelea kutumika katika maafa mengine ya mvua yatakayojitokezo katika kipindi hiki
😁😁😁
 
Back
Top Bottom