Ntemi_Ntale
Member
- Aug 23, 2026
- 20
- 16
Hadi sasa tumetumia 250B au hamuoni mitaro inavyofukuliwa,miti inakatwa na tunawaamisha watu toka mabondeni? je hamuoni tunavyosaeisha miji tumebomoa vibanda vya machinga kupisha el nino?
Zishatumika
Kwani unafikiria hadi leo zipo??
Mabarabara na madaraja mapana na marefu yanayojengwa kila mitaa na upanuzi wa mitaro ya maji ndo yanatekelezwa kwa hiyo bajeti
Bajeti huwa zinapangwa kwa kufuata kipaumbele so kama kijiji bajeti yake kwa mwaka huwa ni milioni 50 itaendelea kuwepo hivyo hivyo ila kwa mwaka huu unakuta imeongezwa milioni 20 mahususi kwa ajili ya elninoKwani Budget ya Kujengea hivyo vitu zilienda wapi?
Unauliza majibu mkuu🤣🤣🤣Serikali ilitenga Billioni 730 kwa ajili ya kujiandaa na kukabiliana na athari za Mvua za Elnino zilizotabiliwa kuanza kunyesha kuanzia Mwezi october .
Pia Serikali ilibainisha kuwa kama fedha hizo hazitatosha basi kitaongezwa kiasi kingine kuendelea kukabiliana na athari ya mvua hizo ambazo zinaweza kujitokeza.
Sasa swali langu ni kwanga ,Iwapo Mvua hizo za Elnino hazitatokea ,hizo 730 bilioni zilizotengwa zitapelekwa wapi??
Soma
Una uhakika hazijaanza kutumika?Serikali ilitenga Billioni 730 kwa ajili ya kujiandaa na kukabiliana na athari za Mvua za Elnino zilizotabiliwa kuanza kunyesha kuanzia Mwezi october .
Pia Serikali ilibainisha kuwa kama fedha hizo hazitatosha basi kitaongezwa kiasi kingine kuendelea kukabiliana na athari ya mvua hizo ambazo zinaweza kujitokeza.
Sasa swali langu ni kwanga ,Iwapo Mvua hizo za Elnino hazitatokea ,hizo 730 bilioni zilizotengwa zitapelekwa wapi??
Soma
Washakula hizo pesa aiseeNdio maana nauliza