Kama Elnino haitatokea unahisi zile Bilioni 730 za Bajeti watazifanyia nini ?

Unahisi Kipi kati ya Hivyi:-

  • zitapangiwa kazi nyingine

    Votes: 1 4.5%
  • Zitatafunwa Vibaya Mno

    Votes: 10 45.5%
  • Zitapotea isijulikane zimeenda wapi

    Votes: 6 27.3%
  • Atajua CAG

    Votes: 2 9.1%
  • Hata mimi sijuwi

    Votes: 3 13.6%

  • Total voters
    22
Mbona zimeshatumika? Hujaona maghorofa yanayoporomoshwa mbezi na mbweni?
 
Huwa najiuliza ule mradi wa kuvua mchanga pale darajani Dumila Morogoro ni wa nani? Kwanini mieka nenda rudi hawatafuti suluhu nyingine ya kudumu? Au wajenge daraja jingine sehemu nyingine au wajenge daraja la nguzo tokea njiapanda ya Kilosa?
 
😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…