Kama Elon Musk ana utajiri wa $180 billion na watu duniani tuko 8 billion. Kwanini asitugawie tu kila mmoja bilioni 1 alafu abakie na $172 billion?

Kama Elon Musk ana utajiri wa $180 billion na watu duniani tuko 8 billion. Kwanini asitugawie tu kila mmoja bilioni 1 alafu abakie na $172 billion?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Msinicheke, nilipata mase "F minus" form 4.
6b70da25f94b4348249821a5b91921b5~2.jpg
 
Msinicheke,nilipata mase "F minus" form 4.
Hujagundua kuwa unachomaanisha hapa ni kwamba amgawie kila mtu duniani dola moja? Dola moja, Tshs 2,700 itakusaidia nini?

Kama akitaka kila mtu apate bilioni moja basi itabidi awe na 1 bilioni x 8 bilioni = 8 bilioni bilioni, yaani awe na USD 8,000,000,000,000,000,000. Sasa yeye ana 172 bilioni tu, yaani USD 172,000,000,000, ambazo hata mtaa wetu peke yetu hazitatosha akigawa 8 bilioni kwa kila mtu.

Jamani, ndio maana hesabu ni somo la lazima!😀
 
Hujagundua kuwa unachomaanisha hapa ni kwamba amgawie kila mtu duniani dola moja? Dola moja, Tshs 2,700 itakusaidia nini?

Kama akitaka kila mtu apate bilioni moja basi itabidi awe na 8 bilioni x 8 bilioni = 64 bilioni bilioni, yaani awe na USD 64,000,000,000,000,000,000. Sasa yeye ana 172 bilioni tu, hata mtaa wetu peke yetu hazitatosha akigawa 8 bilioni kwa kila mtu.

Jamani, ndio maana hesabu ni somo la lazima!😀
Inafikirisha sana, mimi darasani muda wote n
04f1989ddce65cbd1c4de9d06cbe1e32~2.jpg
ilikuwa hivi
 
Vya Bure hununua freedom Yako unakuwa mtumwa,

Mwanaume pambana na KAZI.

Huyo Musk amedai alikuwa akilalanmasaa mawili tu katika 24 hrs, masaa 20 alifanya KAZI mfululizo kukuza mtaji.

Sasa wewe mkoromaji, pesa upateje?
 
Inafikirisha sana, mimi darasani muda wote nilikuwa hivi
Sorry, ni 8,000,000,000,000,000,000. Sio 64.

Angalia CCM wasikusikie, watamfuata Elon waseme CCM itasimamia huo ugawaji wa hizo hela! Maana michango tu ya wahanga wa jengo la Kariakoo IGP ameamriwa asimamishe kazi zote amtafute yule dada waliyechangisha milioni 37 azirudishe CCM!
 
Sorry, ni 8,000,000,000,000,000,000. Sio 64.

Angalia CCM wasikusikie, watamfuata Elon waseme CCM itasimamia huo ugawwaji wa hizo hela! Maana michango tu ya wahanga wa jengo la Kariakoo IGP ameamriwa asimamishe kazi zote amtafute youle dada waliyechangisha milioni 37 azirudishe CCM!
Hahahah
 
Back
Top Bottom