Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujagundua kuwa unachomaanisha hapa ni kwamba amgawie kila mtu duniani dola moja? Dola moja, Tshs 2,700 itakusaidia nini?Msinicheke,nilipata mase "F minus" form 4.
Inafikirisha sana, mimi darasani muda wote nHujagundua kuwa unachomaanisha hapa ni kwamba amgawie kila mtu duniani dola moja? Dola moja, Tshs 2,700 itakusaidia nini?
Kama akitaka kila mtu apate bilioni moja basi itabidi awe na 8 bilioni x 8 bilioni = 64 bilioni bilioni, yaani awe na USD 64,000,000,000,000,000,000. Sasa yeye ana 172 bilioni tu, hata mtaa wetu peke yetu hazitatosha akigawa 8 bilioni kwa kila mtu.
Jamani, ndio maana hesabu ni somo la lazima!😀
Sorry, ni 8,000,000,000,000,000,000. Sio 64.Inafikirisha sana, mimi darasani muda wote nilikuwa hivi
HahahahSorry, ni 8,000,000,000,000,000,000. Sio 64.
Angalia CCM wasikusikie, watamfuata Elon waseme CCM itasimamia huo ugawwaji wa hizo hela! Maana michango tu ya wahanga wa jengo la Kariakoo IGP ameamriwa asimamishe kazi zote amtafute youle dada waliyechangisha milioni 37 azirudishe CCM!
Hela zote zilizopo duniani zikigawanywa sawasawa kwa kila mtu aliyeko duniani, ZITARUDI KWA HAO HAO WENYE NAZO MAANA WANA VITEGA UCHUMI VYA KUTUCHUKULIA HELA ZETU. Ni suala la muda tu.Msinicheke,nilipata mase "F minus" form 4.
View attachment 3155894
Hisabati ni janga la taifaMsinicheke,nilipata mase "F minus" form 4.
View attachment 3155894
Msinicheke,nilipata mase "F minus" form 4.
View attachment 3155894