OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Leo umekojozwa mshangazi?Mleta mada nenda mirembe ukapange chumba. NI BURE!!
Hivi Huyu mtu kwa nini mnamlea Sana? Vitu anavyo andika haviendani na mada husika tena anaongea ushetani tu... kwa nini mnaendelea kumlea?Mleta mada nenda mirembe ukapange chumba. NI BURE!!
ccm kwa vile inakubalika nchi mzima kwanini mnavuruga zoezi zima bila sababu za msingi au lengo mshinde kwa kishindo bila ya upinzani?Hivi Huyu mtu kwa nini mnamlea Sana? Vitu anavyo andika haviendani na mada husika tena anaongea ushetani tu... kwa nini mnaendelea kumlea?
Hivi Huyu mtu kwa nini mnamlea Sana? Vitu anavyo andika haviendani na mada husika tena anaongea ushetani tu... kwa nini mnaendelea kumlea?
Huwa najiuliza sanaViongozi wa upinzani mmepata sababu na ushahidi wa kutangaza kujitoa kwenye huu uchaguzi wa kihuni.
Kinachofanyika na serikali ya CCM ni kuona watu wote hawana akili kabisa ni mapunguani. Ni dhahiri hawa watu wamejipanga bila kujali aibu yeyote. Ukiangalia sababu za kuenguliwa ni za kijinga kabisa.
Sasa unaweza kujiuliza kama ni fomu tu hali ipo hivi, vipi upigaji wa kura? Hali si itakuwa kufuru.
Wapinzani wekeni tamaa za uongozi pembeni na kutoa tamko rasmi la kususia uchaguzi. Kuendelea kushiriki uchaguzi wa hovyo kama huu ni kubariki ushindi wa wizi wa CCM
Mi huwa na wahurumia mno wakina mama wajawazito na wapinzani kwa ujumla wanao enda kupanga foreni ili kupiga kura huku wakijua kabisa mfumo uliopo kivyovyote vile wapinzani hawawezi shida.Viongozi wa upinzani mmepata sababu na ushahidi wa kutangaza kujitoa kwenye huu uchaguzi wa kihuni.
Kinachofanyika na serikali ya CCM ni kuona watu wote hawana akili kabisa ni mapunguani. Ni dhahiri hawa watu wamejipanga bila kujali aibu yeyote. Ukiangalia sababu za kuenguliwa ni za kijinga kabisa.
Sasa unaweza kujiuliza kama ni fomu tu hali ipo hivi, vipi upigaji wa kura? Hali si itakuwa kufuru.
Wapinzani wekeni tamaa za uongozi pembeni na kutoa tamko rasmi la kususia uchaguzi. Kuendelea kushiriki uchaguzi wa hovyo kama huu ni kubariki ushindi wa wizi wa CCM
Angalia tarehe aliyo join. New members huwa wanatype pumba tu, kila thread wapo ili kuongeza idadi ya post zao na likesHivi Huyu mtu kwa nini mnamlea Sana? Vitu anavyo andika haviendani na mada husika tena anaongea ushetani tu... kwa nini mnaendelea kumlea?
Watawapiga watapolaWanatumia dola kubaki kuongoza dola
Nchi inawenye nchiMi huwa na wahurumia mno wakina mama wajawazito na wapinzani kwa ujumla wanao enda kupanga foreni ili kupiga kura huku wakijua kabisa mfumo uliopo kivyovyote vile wapinzani hawawezi shida.
Nikupoteza muda. ni vyema nguvu hizi tukazielekeza kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi
SahihiNchi inawenye nchi
Walanchi na wananchi
Kuendelea kuwachagua ni kwenda na mchaga mmbichi
Viongozi wa upinzani mmepata sababu na ushahidi wa kutangaza kujitoa kwenye huu uchaguzi wa kihuni.
Kinachofanyika na serikali ya CCM ni kuona watu wote hawana akili kabisa ni mapunguani. Ni dhahiri hawa watu wamejipanga bila kujali aibu yeyote. Ukiangalia sababu za kuenguliwa ni za kijinga kabisa.
Sasa unaweza kujiuliza kama ni fomu tu hali ipo hivi, vipi upigaji wa kura? Hali si itakuwa kufuru.
Wapinzani wekeni tamaa za uongozi pembeni na kutoa tamko rasmi la kususia uchaguzi. Kuendelea kushiriki uchaguzi wa hovyo kama huu ni kubariki ushindi wa wizi wa CCM
ulihamasisha wasijiandikishe na wakafanya hivyo, eti sasa unatishia kujiondoa kwenye uchaguzi ambao wewe hupigi kura 🤣Viongozi wa upinzani mmepata sababu na ushahidi wa kutangaza kujitoa kwenye huu uchaguzi wa kihuni.