Mleta mada nenda mirembe ukapange chumba. NI BURE!!
Mbowe wamepewa pesa nyingi sana kwa ajili ya uchaguzi kwa hiyo hawezi kujitoa zaidi ya kulia lia na akina Mrema.
Hakuna siku Mbowe anafanya biashara lichaa. Yule jamaa yupo after money . JPM alijua mchezo wa wapinzani ndio maana alitaka vyama vya upinzani vife ili abaki kupambana majibu ndani ya CCM . Bahati Mbaya waliwahi na sasa Wahuni wanacheza na siasa za kusaka noti kwa kutumia watanganyika.
Mi huwa na wahurumia mno wakina mama wajawazito na wapinzani kwa ujumla wanao enda kupanga foreni ili kupiga kura huku wakijua kabisa mfumo uliopo kivyovyote vile wapinzani hawawezi shida.
Nikupoteza muda. ni vyema nguvu hizi tukazielekeza kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi
Kwa hiyo hizo nguvu za katiba mpya zitatoka wapi kwa wapumbavu wanaoshindwa kudhibiti uchaguzi wa serikali za mitaa .
Yaani uchaguzi unaofanywa na watu wa mtaani unashindikana kuwadhibiti CCM mtawezaje kupata katiba mpya isiyo na kura wala ulaji zaidi ya watawala na mafisadi kujilinda ili wafie madarakani .
Duniani kote hakuna nchi ya kidemokrasia yenye uchaguzi wa mitaani kwa watu wanaolala na kula na kunywa pamoja kama ilivyo Tanzania.
Yaani ni uchaguzi mwepesi sana na wenye fursa ya kuonyeshana makali mpaka wanaoiba na wanaotangazwa wakatae kutangazwa kwa kisago na kiyama wa atakachopata. Ni aibu kubwa sana kwa Chadema kukosa uelekeo kwenye uchaguzi wa mitaani usio hata na picha wala nini !!
Uchaguzi wa kihuni ukapelekwa kihuni na kimafya mpaka. Yaani sijaona mtu kiongozi wa upinzani duniani mjinga kama Mbowe. Ila ni sawa maana haijawahi kutokea duniani Tajiri kupigania maslahi ya wanyonge kama kuna mtutu wa bunduki mbele. Bora angekaa pembeni akafafhili vijana wahuni kucheza mziki wa kiduku na CCM . Huu mziki ulikua ni wa Lisu ,Heche, Boni Yai , Pambalu , Mdude,Dr.Slaa. n.k. Uhuni huu wa wasimamizi na Mchengerwa ungeisha kabla ya mwaka huu kuisha.
lakini eti wakina Mnyika na Mrema wanaita Jambo TV na kuanza kulia lia lia kwa huruma eti wananchi wataamua wenyewe.
Pesa za Ruzuku mmemaliza halafu wananchi wataamua . Achieni hivyo viti inavyotumia maisha ya watu kujinufaisha .Lisu wa watu alipigwa risasi akijua anapigania chama cha siasa kumbe ni saccos ya Mbowe kupiga pesa.