Kama Haji Manara hasingekuwepo, Mpira wa nchi hii ungekuwa ulishakufa siku nyingi

Mpira pamoja na tambo na matani yake yamekuwepo kabla hata baba yake Haji Manara hajazaliwa.

Sawa but miaka kadhaa ile hali ya ushabiki ilikuwa imekufa kabisa
 
Nimeipenda hii


"......Haji anahitajika kuliko wallet iliyosheheni kibunda cha noti za elf kumi kumi kwenye mfuko wa suruali ya mzinzi...."
 
Mimi ni yanga ila uhalisia ni kweli tupu,mpira wetu bila manara tungekuwa nyuma sana,anajua kutia hamasa! Tff wamtumie huyu jamaa kwenye timu za taifa
Kwani ukikoment ni lazma ujitambulishe we ni timu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…