Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira pamoja na tambo na matani yake yamekuwepo kabla hata baba yake Haji Manara hajazaliwa.
Kwani ukikoment ni lazma ujitambulishe we ni timu gani?Mimi ni yanga ila uhalisia ni kweli tupu,mpira wetu bila manara tungekuwa nyuma sana,anajua kutia hamasa! Tff wamtumie huyu jamaa kwenye timu za taifa
👊👊👊Kumbuka pia Haji amekuja wakati wa social media.nakubali kuwa Haji ni kitunguu katika soka la bongo