Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Maswali ya kijinga kabisa hayo anayouliza. Hatuadhimishi siku, tunaadhimisha tukio. Hata Christmass ingekuwa mwezi Julai tungekula Pilau na kujumuika na ndugu na jamaa.We nawe haya maswali yako yanazungumzwaga humu ndani kila kabla Xmass...
Na yalishajibiwaga ..
We pikeni Pilau mule ...labda uwe msabato ...
Hajui maana ya MaadhimishoMaswali ya kijinga kabisa hayo anayouliza. Hatuadhimishi siku, tunaadhimisha tukio. Hata Christmass ingekuwa mwezi Julai tungekula Pilau na kujumuika na ndugu na jamaa.
Acha upumbaff. Kama huna majibu uufyate. Kwani, kuuliza ni ujinga?Maswali ya kijinga kabisa hayo anayouliza. Hatuadhimishi siku, tunaadhimisha tukio. Hata Christmass ingekuwa mwezi Julai tungekula Pilau na kujumuika na ndugu na jamaa.
Ndiyo muwe mnayauliza kila mwaka kipindi sikukuu inapokaribia tu?Huwa hamna maswali mengine?Mkiitwa sadusts mtakataa?Roho zenu zinaonesha ni namna gani hampendi watu wawe na furaha kwa mambo yao.Acha upumbaff. Kama huna majibu uufyate. Kwani, kuuliza ni ujinga?
Huwezi pata tarehe yoyote,ni kumbukizi tu.Siku chache zijazo, waumini watasherehekea kuzaliwa kwa Yesu aka Kristo aka Issa Masihi aka Mwana wa Joseph aka Mwana wa Maria aka Issa bin Mariam aka Son of Man aka Mwana wa Adam aka Mwana wa Mungu aka Mkombozi aka Kristo au mpakwa mafuta aka Neno aka Mwana kati ya watatu waundao Mung nk. Kama kuna mtu mwenye ushahidi anayejua siku au tarehe aliyozaliwa Yesu––––kama kweli aliwahi hata kuwepo––––atusaidie kutujuza siku au tarehe hiyo. Ukisoma Biblia na Quran, hazielezi alizaliwa au kufa lini zaidi ya stori za Pwagu na Pwaguzi, Chizi na Mchizani. Je Yesu alizaliwa tarehe ngapi wanangu?
Kumbukizi lisilo na tarehe yake mwanangu?Huwezi pata tarehe yoyote,ni kumbukizi tu.
Usihukumu tena kijinga usije hukumiwa. Kama hujui, jinayamzie tu mwanangu,.Ndiyo muwe mnayauliza kila mwaka kipindi sikukuu inapokaribia tu?Huwa hamna maswali mengine?Mkiitwa sadusts mtakataa?Roho zenu zinaonesha ni namna gani hampendi watu wawe na furaha kwa mambo yao.
Siku chache zijazo, waumini watasherehekea kuzaliwa kwa Yesu aka Kristo aka Issa Masihi aka Mwana wa Joseph aka Mwana wa Maria aka Issa bin Mariam aka Son of Man aka Mwana wa Adam aka Mwana wa Mungu aka Mkombozi aka Kristo au mpakwa mafuta aka Neno aka Mwana kati ya watatu waundao Mung nk. Kama kuna mtu mwenye ushahidi anayejua siku au tarehe aliyozaliwa Yesu––––kama kweli aliwahi hata kuwepo––––atusaidie kutujuza siku au tarehe hiyo. Ukisoma Biblia na Quran, hazielezi alizaliwa au kufa lini zaidi ya stori za Pwagu na Pwaguzi, Chizi na Mchizani. Je Yesu alizaliwa tarehe ngapi wanangu?
Sasa kama tayari una majibu yako,ya nini kusumbua watu kwa maswali yanayorudiwa kila mara?Usihukumu tena kijinga usije hukumiwa. Kama hujui, jinayamzie tu mwanangu,.
Soda umekuwa mtoto mdogo.Mi nasubiri jumatano upikwe ubweche niukamue na soda yangu pembeni nienjoy life