Kama hakuna anayejua siku au tarehe aliyozaliwa Yesu, kama kweli alikuwapo, inakuwaje Desemba 25 iwe siku ya kuzaliwa kwake?

Kama hakuna anayejua siku au tarehe aliyozaliwa Yesu, kama kweli alikuwapo, inakuwaje Desemba 25 iwe siku ya kuzaliwa kwake?

Siku chache zijazo, waumini watasherehekea kuzaliwa kwa Yesu aka Kristo aka Issa Masihi aka Mwana wa Joseph aka Mwana wa Maria aka Issa bin Mariam aka Son of Man aka Mwana wa Adam aka Mwana wa Mungu aka Mkombozi aka Kristo au mpakwa mafuta aka Neno aka Mwana kati ya watatu waundao Mung nk. Kama kuna mtu mwenye ushahidi anayejua siku au tarehe aliyozaliwa Yesu––––kama kweli aliwahi hata kuwepo––––atusaidie kutujuza siku au tarehe hiyo. Ukisoma Biblia na Quran, hazielezi alizaliwa au kufa lini zaidi ya stori za Pwagu na Pwaguzi, Chizi na Mchizani. Je Yesu alizaliwa tarehe ngapi wanangu?
Hàta Mungu hajawahi kukwambia alikuwepo toka tarehe ngapi.
Babu zako wote wà ukoo wenu hujui walizaliwa tarehe ngapi? Kwahiyo hawajawahi kuwepo?
Acha mambo ya kitoto.
 
Back
Top Bottom