PreGE2025 Kama hakuna muda wa kuifanyia Tume ya Uchaguzi marekebisho UN yaweza kusaidia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
hiyo ni nonsense gentleman,
ni sawa na ushindwe kumtungisha mkeo mimba, halafu uandae utaratibu wa kwenda kumuomba jirani yako akusadie 🐒
Yote yanawezeka- the end justify the means
 
Sijajua kuna ugumu gani wa kukubaliana kuhusu tume huru - yaani wanataka tukubari wizi wa kura. Wizi haukubariki kamwe.
Ni vema wakubari kabla ya kusurutishwa na jumuiya ya kimataifa.
 
Msisahau kuambatanisha vielelezo vyote vya wizi wa kura ikiwemo clips za polisi na vibegi vya kura feki, matamko ya akina Nape, Kuna na yule alisema unapiga kura kule huku tunaunda serikali, Mchengerwa, Wasira, na matukio ya kufuta chaguzi ya akina Jecha pamoja na kanuni za tume hii isiyo huru zinazolenga kuzorotesha uchaguzi wa huru na haki. Uvumilivu umefika mwisho.
 
..kiburi sio jambo zuri.

..Reforms wanazopendekeza wapinzani zina ubaya gani mpaka iwe vigumu kuzitekeleza?

..hii nchi ni yetu wote, sio ya genge dogo la Mwenyekiti wa CCM na watu wake.
Ni kiashiria wazi kabisa Kuna wizi mkubwa unafanyika na unalindwa kwa gharama yoyote.
 
Mnajua kujiliwaza na kujipa moyo.Hakuna kitakachotokea.Uchaguzi utafanyika na CCM itashinda.
Kwa hila miaka yote imekuwa ikishinda lakini mwaka huu kamata mwizi wa kura kabla hajaiba
 
Nchi ya Tanzania HAIPO kwenye category ya kuitiwa UN. Hayo yanatakiwa kufanyika Sudan, Congo DR na South Sudan. Chaguzi za Tanzania ni mmojawapo ya mifano ya UN ya chaguzi bora duniani!!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…