Kama hakuna Mzee au kiongozi yeyote wa kitaifa atamwambia ukweli Mzee Makamba, yajayo yanafurahisha

Mtu mjinga tu asiyeujua ukweli wa mambo ndio anaweza kumtetea Magufuli!
 
Basi kampige kama unamuweza.

Haya ni matokea ua kushabikia uovu tangu hapo mwanzo.

Sema umelalia upande wenu ndio maana mnalala na viatu
 
Ila bibi yako na babu yako wakifa kule kijijini ni mipango ya mungu ila akifa kiongozi mkubwa au magufuli ameuawa! Hizi akili zako ni takataka
Huna akili wewe. Jina lolote nikiandika hapa maana yake inakuwa ameuawa? Huna akili wewe, nimeandika majina ya ma Rais walio tangulia mbele za haki kwa huku tanganyika.. Ama kweli wauji mnajistukia kinoma yani
 
Mkuu

Kuna uwezekano huko mbeleni kesi ikafunguliwa na jamuhuri kuhusu hii kitu !

Kuna watu wataacha kiti KWA kuguswa na evidences!

Ndicho nionacho!
 
Mnajihisi sana,, anyway, kama mnataka battle isokay,, tushachoka na mambo yenu, let solve this once and for all,,
 
Wameshasahau waliiua CCM 2015 mpaka alipoifufua Magufuli.

Magufuli hakuifufua ccm acha upotoshaji, bali alikuwa ni mlevi wa madaraka aliyoyatumia kukandamiza upinzani. Usidhani wanaccm wenzake ni wajinga. Wanajua fika hakuwa na ushawishi na wala ccm haikuwa na ushawishi, bali watu walijawa na hofu, kisha wakalishwa mapenzi bandia kwa CCM. Kama aliifufua CCM mbona yeye ndio aliiongoza kwa kunajisi uchaguzi?
 
Sikuwahi kumpenda Magufuli Katika Utawala Wake Lakini Hizi Drama,Mapicha,Fedheha,Dharau,Kejeli,Wizi,Utapeli,Majivuno Na Kashfa Za Viongozi Wa Awamu Hiii...

Wakuu Mungu Ampumzishe Magufuli...
 
Nchi hii kuna watu wanajifanya kama wana hati miliki nayo,wao na familia zao

Ova
 
Nimetazama clips za hotuba ya Kikwete na Makamba kwa umakini nikaona hawa wazee safari hii walikuwa wana hasira hatari. JK huwa yuko soft kwenye hotuba zake ila jana alikuwa wa moto mno. Neno mpuuzi, wapuuzi kalitaja mara kadhaa. Yaani hakuwa na masikhara hata kidogo. Makamba alikuwa na hisia kali toka juzi akihojiwa na waandishi. Mzee Makamba ndo alishindwa kabisa kuji-control. Bado sijaelewa kabisa sababu za wazee kucharuka hivi. Halafu mbona Bashiru alikuwa ka-relax kabisa? Nitafuatilia vizuri.
 
Huna akili wewe. Jina lolote nikiandika hapa maana yake inakuwa ameuawa? Huna akili wewe, nimeandika majina ya ma Rais walio tangulia mbele za haki kwa huku tanganyika.. Ama kweli wauji mnajistukia kinoma yani
Hahahaha!lazima tujishtukie kwani we je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…