Kama hakuna Wamarekani waliouawa katika mashambulizi ya makombora ya Iran, basi Marekani haitokuwa na haja ya kujibu mashambulizi

I see you are still sleeping...huu ni mchezo tu kila nchi haitaki vita kwasababu wakipigana watakaofaidika ni Russia na China
Kwahyo wewe explanation yako ya kwanin wanajeshi hawakuwepo Kambini ni ip?
We jamaa umenionaje aisee! Kwa uelewa wa haya mambo na umri nilionao sistahili kunyweshwa chai ya dzain hii. Hizi stori peleka kwa wenzio kwenye vibanda vya movie za James Bond na Rambo
 
Picha ya majeneza tafadhali! Hakuna siri humu duniani kwa matukio makubwa kama HAYO!
TUMEONA live kassim selemani alivyo geuzwa jivu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu hao waajemi wako vizuri kwa propaganda. Kama kuna Wamarekani wangekufa Nancy Pelos pamoja na Demos kina Ihal Omar,wasingemuacha Trump, wangemshutumu sana!
 
Yamekua haya tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mkuu hao waajemi wako vizuri kwa propaganda. Kama kuna Wamarekani wangekufa Nancy Pelos pamoja na Demos kina Ihal Omar,wasingemuacha Trump, wangemshutumu sana!
Jeneza la Osama Na La Albaghdad 2nalihitaji Hapa [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picha ya majeneza tafadhali! Hakuna siri humu duniani kwa matukio makubwa kama HAYO!
TUMEONA live kassim selemani alivyo geuzwa jivu!

Sent using Jamii Forums mobile app
dogo we hujui kama Jeshi la US limezuia wapiga picture na wandishi wa habari kuingia kwenye hizo base mbili. Yani we unategemea USA atakubali kuonyesha aibu yake kwenu 😁 πŸ˜€ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
dogo we hujui kama Jeshi la US limezuia wapiga picture na wandishi wa habari kuingia kwenye hizo base mbili. Yani we unategemea USA atakubali kuonyesha aibu yake kwenu [emoji16] πŸ˜€ [emoji23] [emoji23]
Tuliona kasim selemani yale makombora yalivyo usambaratisha Ile convoy YAKE!
Iran walikuwa wanapiga huku wamefumba macho bila camera??


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…