We si unamaanisha kuwa hawajafa...wapo sehem wamefichwa...ndo namm nkakuuliza una miaka mingap?Ina ingia kabisa akilini kama jamaawaposehem wamefichwa halaf unataka kuujua umri wangu[emoji119][emoji119][emoji119][emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila hakuna alie uawa/uwawa [emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]
Mm naamini sana kama wamekufa hilo lakuficha unaliamini weweWe si unamaanisha kuwa hawajafa...wapo sehem wamefichwa...ndo namm nkakuuliza una miaka mingap?
Mimi huwa nashangaa Sana ujuaji wa watu humu ndani,hv hivi unaweza ufiche vifo vya watu wakati kila siku wakawasiliana na wapendwa wao kote duniani!!!!! Majeruhi wanatibiwa wapi kwa kificho hao ambao hawakupata madhara wametishwa wasiseme? Kwa technolojia ya Sasa unaweza kuficha maafa na utaficha kwa mda gani?Sasa unalalamika na kulia nini? Kama hawajafa ulitaka aseme wamekufa? Mbona kule Kenya wamekubali kuhusu vifo na uharibifu?
Hahaha!PointlessKama waliweza kuficha ushahidi wa kuuwawa osama watashindwa watu wao wamuhimu !?.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi huwa nashangaa Sana ujuaji wa watu humu ndani,hv hivi unaweza ufiche vifo vya watu wakati kila siku wakawasiliana na wapendwa wao kote duniani!!!!! Majeruhi wanatibiwa wapi kwa kificho hao ambao hawakupata madhara wametishwa wasiseme? Kwa technolojia ya Sasa unaweza kuficha maafa na utaficha kwa mda gani?
Daaah! Hivi unajua hao wanajeshi huwa wanawasiliana na wapenzi wao,mama zao,jirani zao,binamu zao na depo met wao kila siku? Hivi ukificha maafa unajua masaa 24 mengi utakutana na mabango nje ya white House yenye # bring back my son,bring back my husband etc. Miili ya hao waliokufa imezikwa kambini Iraq? Au imerudishwa USA kwa kificho Kama lagagge? Significance ya kuficha ni nini? Hata Aljazeera wameshindwa kujua wenye reporter huko? Hata RT ( Russia Tv) wameshindwa kung'amua? Yaani mm na wenzangu tufie Congo au Daffur serikali ya Tanzania ufiche wakati kila siku wapendwa wetu tunawasiliana na wanahesabu siku zetu za kurejea kuungana na familia! Khaaaaaaa
Ww huoni kama mwili wa Osama ilikuwa kiki lakini hawakuonesha maana yake hawapendi kiki??kwahyo kama hawapend kiki maana yake hawaoni aibu kutangaza fedheha...kwahyo kama wanajeshi wangekufa wangesema tu bila aibuMm naamini sana kama wamekufa hilo lakuficha unaliamini wewe
Nnachotaka kukuaminisha mimi nikwamba kama wameweza kuuficha mwili wa osama ambao kwao ni kiki ya maana kimataifa kiuchaguzi na kwengineko wanashindwaje kuficha wanajeshi wao ambao kwao ni fedheha kuuliwa kama kuku....!!!???
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna uharibifu huko?? Bivi zile Airfedence zimegonga mwamba??