Kama hakuna Wamarekani waliouawa katika mashambulizi ya makombora ya Iran, basi Marekani haitokuwa na haja ya kujibu mashambulizi

Kama hakuna Wamarekani waliouawa katika mashambulizi ya makombora ya Iran, basi Marekani haitokuwa na haja ya kujibu mashambulizi

We si unamaanisha kuwa hawajafa...wapo sehem wamefichwa...ndo namm nkakuuliza una miaka mingap?
Mm naamini sana kama wamekufa hilo lakuficha unaliamini wewe

Nnachotaka kukuaminisha mimi nikwamba kama wameweza kuuficha mwili wa osama ambao kwao ni kiki ya maana kimataifa kiuchaguzi na kwengineko wanashindwaje kuficha wanajeshi wao ambao kwao ni fedheha kuuliwa kama kuku....!!!???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa unalalamika na kulia nini? Kama hawajafa ulitaka aseme wamekufa? Mbona kule Kenya wamekubali kuhusu vifo na uharibifu?
Mimi huwa nashangaa Sana ujuaji wa watu humu ndani,hv hivi unaweza ufiche vifo vya watu wakati kila siku wakawasiliana na wapendwa wao kote duniani!!!!! Majeruhi wanatibiwa wapi kwa kificho hao ambao hawakupata madhara wametishwa wasiseme? Kwa technolojia ya Sasa unaweza kuficha maafa na utaficha kwa mda gani?
 
PointlessKama waliweza kuficha ushahidi wa kuuwawa osama watashindwa watu wao wamuhimu !?.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha!

Nimeuliza swali jema tu kwamba majeneza yao unataka kuyaona kwa sababu zipi? Una kazi gani nayo?

*****
Unadhani kama kuna vifo vya Wamarekani wenye ndugu na familia zao walizoziacha makwao, serikali ya Marekani ingekaa kimya? Kwa sababu zipi?

Ndugu wa wahanga wangekaa kimya bila kuzipata taarifa za ndugu zao waliokuwemo katika kambi hizo? Ili iweje?

Kuendana na hali na mwenendo wa kisiasa nchini Marekani, mahasimu wa kisiasa wa Donald Trump wangekaa kimya? Kwa faida ya nani?

Unadhani kitendo cha Iran kupeleka taarifa nchini Iraq kuhusu mashambulizi yao masaa kabla ya kufanyika kwake kunakupa picha gani?
 
Kwan huko walipo hakuna mahospital yakuwatibu
Mimi huwa nashangaa Sana ujuaji wa watu humu ndani,hv hivi unaweza ufiche vifo vya watu wakati kila siku wakawasiliana na wapendwa wao kote duniani!!!!! Majeruhi wanatibiwa wapi kwa kificho hao ambao hawakupata madhara wametishwa wasiseme? Kwa technolojia ya Sasa unaweza kuficha maafa na utaficha kwa mda gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan huko walipo hakuna mahospital yakuwatibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah! Hivi unajua hao wanajeshi huwa wanawasiliana na wapenzi wao,mama zao,jirani zao,binamu zao na depo met wao kila siku? Hivi ukificha maafa unajua masaa 24 mengi utakutana na mabango nje ya white House yenye # bring back my son,bring back my husband etc. Miili ya hao waliokufa imezikwa kambini Iraq? Au imerudishwa USA kwa kificho Kama lagagge? Significance ya kuficha ni nini? Hata Aljazeera wameshindwa kujua wenye reporter huko? Hata RT ( Russia Tv) wameshindwa kung'amua? Yaani mm na wenzangu tufie Congo au Daffur serikali ya Tanzania ufiche wakati kila siku wapendwa wetu tunawasiliana na wanahesabu siku zetu za kurejea kuungana na familia! Khaaaaaaa
 
Mm naamini sana kama wamekufa hilo lakuficha unaliamini wewe

Nnachotaka kukuaminisha mimi nikwamba kama wameweza kuuficha mwili wa osama ambao kwao ni kiki ya maana kimataifa kiuchaguzi na kwengineko wanashindwaje kuficha wanajeshi wao ambao kwao ni fedheha kuuliwa kama kuku....!!!???

Sent using Jamii Forums mobile app
Ww huoni kama mwili wa Osama ilikuwa kiki lakini hawakuonesha maana yake hawapendi kiki??kwahyo kama hawapend kiki maana yake hawaoni aibu kutangaza fedheha...kwahyo kama wanajeshi wangekufa wangesema tu bila aibu
 
Back
Top Bottom