Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Mtoa comment ana hoja.Ila ww kweli hamnazo hayo maji ya kumwagilia nchi nzima mtayavuta bahari ya Hindi,,
Vyanzo vya maji (mito) inakauka kabisa nenda vijijini utajua!!!
Duuuu poleni Simanjiro (Manyara) kwa ukame unawakumba mpaka mifugo inakufa
Hii picja ina maana sanaKwenye Ile mikoa ambayo msimu wa Masika unaanza mwezi wa 11 hali ni mbaya mingine mpaka sahivi hakuna mvua ni msimu wa mvua. Na hii mikoa ndo mingi inayozalisha chakula kingi
Tofauti na Ile inayopata mvua mwezi wa tatu mpaka mwezi wa Sita mwanzoni
Kama una hela weka akiba ya hela kwa sababu ya scarcity vyakula vitaenda kupanda, kama unaakiba ya chakula weka akiba ya chakula, Kuna uwezekano hali ikawa mbaya sana kuanzia June na kuendelea
Watumishi wa kiroho huu ni mda wa kuombea mvua msisubiri Hali ikiwa mbaya mkasema mlitabiri sababu viashiria vyote vimeshaonekana
Hao wa hio mikoa wakiambiwa wapande miiti hawapandi na wanazidi kuikata iliopo acha ng'ombe wao wafe na njaa baadar wataanza kufukiwa wao.
Mkuu tumepata mvua miaka mitatu mfululizo haikutosha kuotesha miti.Miti bila mvua ni maigizo!
Mti kuutunza hadi ukaimarishe mizizi yake unahitaji mvua yakutosha.
Kama huamini kwenye Mungu ni sawa, lakini wako wanaoamini kwenye Mungu usilazimishe watu waamini unachoamini,
Unataka Mungu aje ukupandie miti kwenu?Kama huamini kwenye Mungu ni sawa, lakini wako wanaoamini kwenye Mungu usilazimishe watu waamini unachoamini,
Sisi wengine tunapanda miti hatusubiri kiongozi ahimize.Kwa yule kiongozi mambo muhimu haongelei, yaani ana majibu mepesi pale tumepatikana
Tulishatoa ushauri mapema Sana kwamba Serikali izuie chakula kuuzwa nje ila akina Bashe wanajifanya wanajua Sana.Kwenye Ile mikoa ambayo msimu wa Masika unaanza mwezi wa 11 hali ni mbaya mingine mpaka sahivi hakuna mvua ni msimu wa mvua. Na hii mikoa ndo mingi inayozalisha chakula kingi.
Tofauti na Ile inayopata mvua mwezi wa tatu mpaka mwezi wa Sita mwanzoni
Kama una hela weka akiba ya hela kwa sababu ya scarcity vyakula vitaenda kupanda, kama una akiba ya chakula weka akiba ya chakula, Kuna uwezekano hali ikawa mbaya sana kuanzia June na kuendelea
Watumishi wa kiroho huu ni mda wa kuombea mvua msisubiri Hali ikiwa mbaya mkasema mlitabiri sababu viashiria vyote vimeshaonekana
Jangwani kuna Mto MsimbaziKwani maji ya mito yanatokana nini, mfano Kilombero ifakara mito imekauka na chemchem zimekauka sababu ya uhaba wa mvua.
Mito na chemchem zinategemea sana mvua ili zititiririshe maji ndo maana jangwan hamna mito wala nchemchem
Kwa akili zako kisoda unadhani kwenye Hali ya ukame utapandisha Kodi au utapata fedha wapi kuokoa watu zaidi ya mkopo?Muda huu hangaya anawaza mikopo na kusutana.
Mwaka huu ni kote mvua ni za kusuasua na za msimuHii picja ina maana sana
Hao wa hio mikoa wakiambiwa wapande miiti hawapandi na wanazidi kuikata iliopo acha ng'ombe wao wafe na njaa baadar wataanza kufukiwa wao.
Mnataka nani awasaidie kutunza mazingira.
Watoto wa 2000 changamoto sana, ukipata mda kaa na wazazi wako wakuambie ukame wa 1997 na 1984 mpaka yakaja yale mahind ya njanoLini mvua ziliwahi kugoma kunyesha hadi mwezi wa sita?
Mikoa ya Singida na Dodoma kiasili ni jangwa, lakini aridhini pana maji mengi kuliko ziwa Victoria.Kwani maji ya mito yanatokana nini, mfano Kilombero ifakara mito imekauka na chemchem zimekauka sababu ya uhaba wa mvua.
Mito na chemchem zinategemea sana mvua ili zititiririshe maji ndo maana jangwan hamna mito wala nchemchem
Jina lako haliendani na ulichokiandika..sayansi ndio jibu la matatizo mengi kuliko dini.Kama huamini kwenye Mungu ni sawa, lakini wako wanaoamini kwenye Mungu usilazimishe watu waamini unachoamini,
Upo sawa mkuu, hali ni tete kuna waliomba likizo fupi kwa ajili ya kwenda kulima lakini wiki 2 zimekwisha hivihivi hata tone la mvua! Wamerudi mjini na stori mbaya ! Hili jambo serikali ijipange na iwapange pia wananch wake kuna uwezekano tukapita kipindi kigumu sana cha njaa!Kwenye Ile mikoa ambayo msimu wa Masika unaanza mwezi wa 11 hali ni mbaya mingine mpaka sahivi hakuna mvua ni msimu wa mvua. Na hii mikoa ndo mingi inayozalisha chakula kingi.