Kama hali ikiendelea hivi bila mvua mpaka mwezi wa Sita, mwaka huu utakuwa mgumu sana

Kama hali ikiendelea hivi bila mvua mpaka mwezi wa Sita, mwaka huu utakuwa mgumu sana

Hapa napanga kusombelea maji kumwagilia miti niliyo panda.

Hadi 15 Januari hakuna mvua.
Ila ajabu kuna sehemu mvua zinanyesha kimgaomgao ndani ya mkoa. Inashuka kubwa ya nguvu kwa muda mfupi.

Sehemu nyingine ndani ya mkoa mmoja hakuna mvua kabisa. Ni kama kuna kuwekewa vikwazo vya kupata mvua!

Wakulima wamesafisha mashamba lakini wanasita kuanza kulima, hakusomeki!

Ukweli tujipange kibinafsi na kama Taifa.

Mambo hayatabiriki.
 
Mungu hawezi kuleta mvua kwenye Taifa kama hili,labda kimbunga cha Nzige anaweza kuleta lakini siyo mvua👇
 
Kilimo cha kutegemea mvua kimepitwa na wakati.
Serikali inatakiwa iwekeze kwenye kilimo cha umwagiliaji nchi nzima.
Inawezekana hata kwa kutumia mikopo mradi ndani ya miaka miwili kila mkulima akawa na uwezo wa kulima muda wowote provided tuna maji ya kutosha.

Nchi pekee ambayo ni marufuku kusogelea vyanzo vya maji wakati wenzetu kama Jordan kwenye ukame walitengeneza mikondo na kuanza umwagiliaji miaka 8000 iliyopita

Egypt wanamwagilia sana tena miaka nenda rudi na hawana shida

Ila sisi viongozi wetu walivyo wazembe wa kujituma wao wanaona kupiga wachungaji na kuwanyang’anya mifugo na kupiga mnada na kugawana hela ndio wanaona wamefanya la maana

Hawatajua kutupeleka kwenye umwagiliaji hata siku moja kwa sababu akili ziko wapi?

Kuna mbrazil alikuwa congo miaka kibao kaamua kurudi brazil kakuta watu wameharibu ardhi kwa kukata miti sana na kuwa jangwa

Yeye na mke wake waliamua kuifanya kijani kwa kupanda miti milioni mbili
Baadae walisaidiwa na serikali pia na jeshi lilikuja waliongeza tena miti 4m
Kwa sasa ndege wote wamerudi na wanyama wa kila aina na maji ya kutosha
Najua sisi tuna wwharibifu pia ila inabidi waelimishwe tena kwa vitendo

IMG_3782.jpg

IMG_3781.jpg

IMG_3780.jpg
 
Watoto wa 2000 changamoto sana, ukipata mda kaa na wazazi wako wakuambie ukame wa 1997 na 1984 mpaka yakaja yale mahind ya njano
Miaka yote hyo nilishazaliwa,labda kama ni nyuma ya hapo,97 kama sikosei ni mwaka wa el nino ila sio ukame
 
Mbarali hali ngumu wakulima wanalia kilimo cha mpunga mwaka huu huenda kisiwepo miti wameimaliza huku watu wakiona mti lazma waukate wameamua kuanza kusali sasa😃😃
 
Tupeni muda kidogo tufanye shooting madarasa ya mama kwa ajili ya kuonyesha tibisii...........tujipimie urefu wa kamba zetu then tutakuja kuwafariji watu wa manyara kwa kufiwa na mifugo yao kutokana na ukame mkali, kwa aina ya viongozi tulio nao kwa sasa prepare for the worst......
Je ng'ombe mmoja mdogo (ndama) anauzwa bei gani hapo Manyara? Nijibu tafadhali
 
Hamieni mikoa ya Nyanda za Juu Kusini,Nchi ya ahadi ya Tzn mvua zinamwagika kama zote.

Ukishindwa hiyo basi hamia Kigoma, Morogoro,Katavi,Mara,Kagera,Tanga na Pwani, Lindi na Mtwara angalau huwa Wana mvua za hapa na pale.
 
Imagine nimekupa hadi picha za live majinya mvua yakitiririka,bado unasema mvua hainyeshi sijui nani kazuia.
Huna uwezo wa kuelewa nilichokuuliza na ndiyo maana unajibu vitu vya ajabu.

Nimekuuliza kuwa kati ya mimi ambae nimetabiri kuwa mvua haitanyesha kisha ikanyesha na hao mapunguani walioitisha kikao cha kujadili jinsi ya kulitafuna Taifa ni nani kazua aibu kwa Taifa?
We punguani utakufa na chuki zako na hakuna kitu utafanya.
Kulaani Rais fisadi kuhamasisha ufisadi kwenye serikali yake ni chuki?
 
Huna uwezo wa kuelewa nilichokuuliza na ndiyo maana unajibu vitu vya ajabu.

Nimekuuliza kuwa kati ya mimi ambae nimetabiri kuwa mvua haitanyesha kisha ikanyesha na hao mapunguani walioitisha kikao cha kujadili jinsi ya kulitafuna Taifa ni nani kazua aibu kwa Taifa?

Kulaani Rais fisadi kuhamasisha ufisadi kwenye serikali yake ni chuki?
Wewe ni kenge ,utabiri unaouweza ni siku ya kula papuchi ya demu wako tuu.

Nakuletea picha za live maji ya mvua yanatiririka unasema umetabiri mvua hainyeshi ,una kichaa
 
Nipatieni bei ya ng'ombe huko zinakokufa kwa ukame nikachukuwe hata watano
 
Back
Top Bottom