Kama hali ndio hiyi tuwaachie simba yanga na azam

Ndenji five

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2021
Posts
1,985
Reaction score
3,109
Siku zote lengo la kuanzisha haya maligi ni kumtafuta mshindi

Ila inanishangaza huu mpira wetu wa kitanzania tokea haya maligi yaanze sijawahi kuona hizi timu ndogo zikishika nafasi ya pili au ya kwanza

Je ni kusema kwamba hazina uwezo wa kushinda
Je simba na yanga ni timu zenye wachezaji wenye uwezo mkubwa kuliko wote hapa Tanzania
Kama ni hivyo kwanini simba na yanga ndio zipewe kipaumbele kuliko timu zingine

Mfano timu ndogo zinapokuwa zinapambana na moja ya timu za simba na yanga lazima kuwe na figisu lazima lazima ubebajwi fulani utokee

Sasa kuna maana gani ya kuweka haya maligi kwanini tusiwaachie simba na yanga sisi timu zingine tuwe mashabiki nazan itapendeza
Mnachuana wenye kama ilivyo pale bungeni Dodoma saiz kila meza kijani tu mpaka raha

Maana sioni umuhimu wa kuanzisha ligi ikiwa washindi mnafahamika ni simba au yanga

Mnaua vipaji mnaua hamasa mnaua uwajibikaji mnatupotezea gharama bora ifikie kipindi timu zingine zijiweke pembeni mshindane wenye
Mchukue makombe wenyewe nazan itapendeza

Na watu wa media zetu mlivyokosa ufahamu siku ya simba na yanga promo kibao lakini wakicheza wengineo hakuna huu ni unyanyasaji na ni utengano wa wazi alafu kesho mzungu akimbagua mwafrika kelele kibao kwenye hizo media mbona hili hamlipigii kelele

Na nyie mashabiki acheni kushikiwa akili Tanzania ni ya kwetu sote ushabiki wenu usio fikiria ni wakipuuza hongereni mnaojielewa
 
We kama nani unaetaka kutuondoa kagera&mtibwa sugar, biashara, prisons na wengne ili tuyaache mahela ya azam tv na nbc?
 
Wacha uongo dogo. Umeanza kufuatilia ligi tangu lini labda tuanzie hapo. Mtibwa Sugar, Coastal Union, African Sports,Tukuyu Stars,Mseto Sports Club ni mojawapo ya timu ambazo nje ya hizo timu ukizotaja zimewahi kuwa mabingwa wa Ligi

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mimi naamini simba na yanga na azam ni bora kuliko hizo team nyingine zote za ligii kuu ila naamini hakuna usawa katika uchezaji,
naamini team zote zingekuwa zinatumia uwanja mzuri kama ule wa taifa ushindani ungekuwa mkubwa.

kwa uwanja kama ule wa dodoma na viwanja vya mikoani unaona team kubwa zinavyopata tabu zikicheza zinaambulia droo sasa kuna team ndo zinacheza uwanja huo msimu mzima unategemea nn lakini wakija taifa unaona utofauti hata kama ikitokea wamefungwa,

Na simama kwenye ubora wa viwanja ndo maana hakuna fair competition kuna team zina viwanja vibaya hapa tanzania na serikali wala haishtuki.
 
Zijitahidi kusajili wachezaji wenye viwango vya kimataifa mbona ubingwa watabeba tuu.

Tatizo la vilabu vingi ni ukata mkuu, angalia hata mabasi yao, juzikati biashara wameshindwa kusafiri sababu ya ukata, sasa hapo kosa ni la nani mkuu.

Simba, yanga na azam wamewekeza na uwekezaji wao ndo unazaa matunda. Hata kama ni figisu michezoni yaani mechi zote mpaka wanachukua ubingwa ni usanii tu ama??
 
Hakuna nchi ambayo timu zote zitakua na ushindani sawa.nahiyo inachangiwa na tofauti ya kiuchumi.Timu ikishakua na uchumi mzuri lazima itengeneze dominance kuanzia kwa mashabiki hadi kwawaendeshaji wa ligi husika.Sasa hapa kwetu yanga na simba ni timu ambazo zilishajijenga miaka mingi ndo maana hadi leo ndio timu zenye ushawishi,ushindani na zinazogawana mashabiki.kufuta hilo ni hadi zijitokeze timu zingine zitakazoweza kuleta ushindani sawa na yanga na simba ili nazo ziweze kuvuna mashabiki kila pembe.kitu ambacho bado hakijafanyika.
 
Mimi naamini simba na yanga na azam ni bora kuliko hizo team nyingine zote za ligii kuu ila naamini hakuna usawa katika uchezaji,
naamini team zote zingekuwa zinatumia uwanja mzuri kama ule wa taifa ushindani ungekuwa mkubwa.

kwa uwanja kama ule wa dodoma na viwanja vya mikoani unaona team kubwa zinavyopata tabu zikicheza zinaambulia droo sasa kuna team ndo zinacheza uwanja huo msimu mzima unategemea nn lakini wakija taifa unaona utofauti hata kama ikitokea wamefungwa,

Na simama kwenye ubora wa viwanja ndo maana hakuna fair competition kuna team zina viwanja vibaya hapa tanzania na serikali wala haishtuki.
Sidhani kama umefikilia vizuri point ya kuhusu viwanja Mkuu, jiulize kitu kimoja nani anatakiwa afanye vizuri kati ya Yanga anaetumia uwanja mzuri game zake almost nusu za ligi au Dodoma Jiji ambae anatumia almost robo tatu ya mechi zake kucheza kwenye viwanja vibaya?

Mfano ni hivi, chukua mtoto ambae anasoma shule ya kata na anafanya vizuri kitaifa mbele ya wanafunzi wanaosoma feza school, kumbuka huyo mwanafunzi hana mazingira mazuri ya kujisomea,hana walimu wazuri,hana material mazuri,hana marafiki washindani, hya mtoe shule ya kata na mpeleke feza school ambapo huko zile negativity zote huko ni positivity

je we unahisi wapi atafanya vizuri zaidi kati ya mwanzo alipokuwa shule ya kata na alipohamia shule ya Feza? Kwa akili ya kawaida tu team ndogo zilitakiwa zicheze vizuri katika uwanja wa Mkapa au wa Azam kuliko zinavocheza viwanja vibovu vya mikoani na ndomana kwa team zenye falsafa ya kucheza mpira mzuri waga wanatoa upinzani mzuri Sana kwa Simba, Yanga na Azam pindi zinapocheza katika kiwanja kizuri

Hizo team ni kama Geita gold, Biashara, Dodoma Jiji,KMC,Ruvu Shooting, Mbeya City,Namungo na ata Gwambina hizi ni team ambazo zina falsafa ya kucheza mpira mzuri, na waga zinacheza mpira mzuri sana dhidi ya hizi team kubwa tatizo linakuja kwenye ubora wa wachezaji waliopo hizi team ndogo

Team kubwa zina wachezaji wenye quality compared na hizi ndogo na ndio hao ambao wanaamua mechi ata katika viwanja vibovu, kwahiyo viwanja sio issues maana ata team ndogo zinapocheza kwa Mkapa waga wanapata matokeo, kama issue ni viwanja kuna team kama Kagera sugar,mtibwa sugar, pia Azam wana viwanja vizuri sana kuliko ata pitch ya Mkapa ila hawanaga cha home Wala away wao Kila siku vilio tu
 
Nachokupendea jamaa yangu hapo tu kwenye kuelekeza hujibanii safi sana

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Siku zote lengo la kuanzisha haya maligi ni kumtafuta mshindi

Ila inanishangaza huu mpira wetu wa kitanzania tokea haya maligi yaanze sijawahi kuona hizi timu ndogo zikishika nafasi ya pili au ya kwanza

Je ni kusema kwamba hazina uwezo wa kushinda
Je simba na yanga ni timu zenye wachezaji wenye uwezo mkubwa kuliko wote hapa Tanzania
Kama ni hivyo kwanini simba na yanga ndio zipewe kipaumbele kuliko timu zingine

Mfano timu ndogo zinapokuwa zinapambana na moja ya timu za simba na yanga lazima kuwe na figisu lazima lazima ubebajwi fulani utokee

Sasa kuna maana gani ya kuweka haya maligi kwanini tusiwaachie simba na yanga sisi timu zingine tuwe mashabiki nazan itapendeza
Mnachuana wenye kama ilivyo pale bungeni Dodoma saiz kila meza kijani tu mpaka raha

Maana sioni umuhimu wa kuanzisha ligi ikiwa washindi mnafahamika ni simba au yanga

Mnaua vipaji mnaua hamasa mnaua uwajibikaji mnatupotezea gharama bora ifikie kipindi timu zingine zijiweke pembeni mshindane wenye
Mchukue makombe wenyewe nazan itapendeza

Na watu wa media zetu mlivyokosa ufahamu siku ya simba na yanga promo kibao lakini wakicheza wengineo hakuna huu ni unyanyasaji na ni utengano wa wazi alafu kesho mzungu akimbagua mwafrika kelele kibao kwenye hizo media mbona hili hamlipigii kelele

Na nyie mashabiki acheni kushikiwa akili Tanzania ni ya kwetu sote ushabiki wenu usio fikiria ni wakipuuza hongereni mnaojielewa
Kuna mawili hapa;
1. Umeanza kufuatiloa ligi za Tanzania sio zaidi ya miaka 4 iliyopita, ama
2. Umekurupuka tu kuandika kwa kusikia stori kijiweni.
 
Siku zote lengo la kuanzisha haya maligi ni kumtafuta mshindi

Ila inanishangaza huu mpira wetu wa kitanzania tokea haya maligi yaanze sijawahi kuona hizi timu ndogo zikishika nafasi ya pili au ya kwanza

Je ni kusema kwamba hazina uwezo wa kushinda
Je simba na yanga ni timu zenye wachezaji wenye uwezo mkubwa kuliko wote hapa Tanzania
Kama ni hivyo kwanini simba na yanga ndio zipewe kipaumbele kuliko timu zingine

Mfano timu ndogo zinapokuwa zinapambana na moja ya timu za simba na yanga lazima kuwe na figisu lazima lazima ubebajwi fulani utokee

Sasa kuna maana gani ya kuweka haya maligi kwanini tusiwaachie simba na yanga sisi timu zingine tuwe mashabiki nazan itapendeza
Mnachuana wenye kama ilivyo pale bungeni Dodoma saiz kila meza kijani tu mpaka raha

Maana sioni umuhimu wa kuanzisha ligi ikiwa washindi mnafahamika ni simba au yanga

Mnaua vipaji mnaua hamasa mnaua uwajibikaji mnatupotezea gharama bora ifikie kipindi timu zingine zijiweke pembeni mshindane wenye
Mchukue makombe wenyewe nazan itapendeza

Na watu wa media zetu mlivyokosa ufahamu siku ya simba na yanga promo kibao lakini wakicheza wengineo hakuna huu ni unyanyasaji na ni utengano wa wazi alafu kesho mzungu akimbagua mwafrika kelele kibao kwenye hizo media mbona hili hamlipigii kelele

Na nyie mashabiki acheni kushikiwa akili Tanzania ni ya kwetu sote ushabiki wenu usio fikiria ni wakipuuza hongereni mnaojielewa
Kadri utakavyowekeza kiasi kikubwa kwenye timu ndivyo hivyo mafanikio makubwa utakavyopata
 
Back
Top Bottom