Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 4,476
- 9,583
Msigwa, tunakushauri kama kweli serikali yako haikuuwa watu kuanzia tarehe 29 October, muwapeleke CNN kwenye mahakama husika za kimataifa . Msiishie kulalamika. Maana mnaonyesha kwamba CNN, Aljazeera, BBC, DW, AFP wote wanaongea uongo.
Kama kweli nyinyi ni watu mlio na uhakika na hamkuuwa, peleka hao jamaa mahakama za kimataifa tuone. Hii itatujulisha nani mkweli na nani ataumbuka. Huko mbele hakuna kupigia hakimu simu wala rushwa. Mkashindanishe teknojia ya ujima na ya kisasa.