PostGE2025 Kama hamnipendi kwa sababu ya dini, si mniache nimalize mda wangu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Joined
Nov 5, 2025
Posts
89
Reaction score
165
Hii ni moja ya kauli za Samia, na wapo wanaomuunga mkono. Lakini kama juhudi zako hizo za uchawa, je, unajua impact ya miaka tano? Umewahi kufikiria kwamba baada ya miaka mitano utakuwa na umri gani? Umewahi kufikiria kwamba baada ya miaka mitano bila uhuru, chini ya utawala wenye sanctions zinazokuja, tutakuwa tumepoteza kiasi gani? Ni vizuri kufikiria kwa undani kabla ya kusupport jambo lolote lisilo na tija.

Miaka mitano si muda mfupi katika maisha ya mwanadamu. Ni kipindi ambacho kinaweza kubadili hatima ya nchi.
Kwa kuzingatia maslahi mapana ya taifa na mustakabali wa Watanzania, tunakuomba, Mheshimiwa Samia, uzingatie uwezekano wa kuachia ngazi. Ikiwa sababu kuu ni masuala ya kifedha, je, kama Watanzania wangekuchangia, ungekuwa tayari kuchukua hatua hiyo?

Yale yaliyotokea katika kipindi hiki cha uongozi ni mazito na hayajawahi kushuhudiwa katika historia ya nchi yetu. Heshima na taswira ya taifa yetu kimataifa zimeathirika kwa kiasi kikubwa.

Tumewaiba sana mali za Watanzania. Rushwa na mikataba mibovu imekithiri. Na kama haitoshi, sasa mmeanza “kuiba roho” za Watanzania—mnawaua Watanzania huku mkiona mali, majengo, na miundombinu kuwa muhimu kuliko uhai wa binadamu.

Kuna siku haya yote yatawajibishwa.
 
Huyu mama akili zake si sawa hata kidogo, na wale wanaomsapoti wanafaidika na wizi wa pesa zetu.
 
Kama vile Wanafanya experiment ya kutawala nchi, na sisi wanannchi ndiyo tunabeba mzigo kama wale panya weupe wa lab
 
Acha uongo, hajasema hivyo... weka video
 
Mbona jina lako ni refu sana mjuba? Ndio kusema ni fasheni kulirefusha?
 
Anawasingizia wazungu na kuibagaza TEC JE TEC NA WAZUNGU ndio walimtuma;
1. Kuteka watanzania?
2. Kuuwa watanzania?
3. Kuteuwa ndg kwenye nafasi za umma?
4. Kutumia walimu Kuiba kura?
5. Kujichagua mwenyewe huko ccm?
6. Kufunga wanasiasa wapinzani?
7. Kusigina katiba?

Je hao ndio walimtuma kufanya upuuzi wote huo? Na wale mashehe ubwabwa wake watakaokata watu vichwa mbona alipouwawa Mzee KIBAO wao walikaa kimya? Kiongozi pekee aliyemsemea marehemu Mzee KIBAO ni Father Kitima wa TEC mashehe ubwabwa wote mlikaa kimya including BAKWATA. KIUKWELI ishu Wala sio udini ishu ni huyo mama hatakiwi kwasababu ya niliyoyataja hapo juu.
 
Hii ni moja ya kauli za Samia, na wapo wanaomuunga mkono. Lakini kama juhudi zako hizo za uchawa, je, unajua impact ya miaka tano? Umewahi kufikiria kwamba baada ya miaka mitano utakuwa na umri gani? Umewahi kufikiria kwamba baada ya miaka mitano bila uhuru, chini ya utawala wenye sanctions zinazokuja, tutakuwa tumepoteza kiasi gani? Ni vizuri kufikiria kwa undani kabla ya kusupport jambo lolote lisilo na tija.

Miaka mitano si muda mfupi katika maisha ya mwanadamu. Ni kipindi ambacho kinaweza kubadili hatima ya nchi.
Kwa kuzingatia maslahi mapana ya taifa na mustakabali wa Watanzania, tunakuomba, Mheshimiwa Samia, uzingatie uwezekano wa kuachia ngazi. Ikiwa sababu kuu ni masuala ya kifedha, je, kama Watanzania wangekuchangia, ungekuwa tayari kuchukua hatua hiyo?

Yale yaliyotokea katika kipindi hiki cha uongozi ni mazito na hayajawahi kushuhudiwa katika historia ya nchi yetu. Heshima na taswira ya taifa yetu kimataifa zimeathirika kwa kiasi kikubwa.

Tumewaiba sana mali za Watanzania. Rushwa na mikataba mibovu imekithiri. Na kama haitoshi, sasa mmeanza “kuiba roho” za Watanzania—mnawaua Watanzania huku mkiona mali, majengo, na miundombinu kuwa muhimu kuliko uhai wa binadamu.

Kuna siku haya yote yatawajibishwa.
Tumezoea kutengeneza matatizo halafu tunatumia muda mwingi na rasilimali nyingi kuyatatua na yanashindikana. Pamoja na uliyoyasema, ni nani ambaye atakuja kuzimaliza hizo shida ndani ya hiyo miaka mitano? Pamoja na ufisadi wa awamu ya nne hadi PM akajiudhuru mbona hamkuanzisaha vurugu za kumtoa aliyekuwepo, au kwa vile maslahi yenu hayakuguswa na mlifaidika na huo ufisadi?

Ushajiuliza matokeo ya kuitoa Serikali iliyopo madarakani kwa vurugu, unafikiri atakayekabidhiwa nchi atakuwa salama? Kuna muda tunawaza pafupi sana hatujipi muda kuwaza matokeo hasi na chanya kwa kila uamuzi tunaoufanya.
 
Samuya kama unapita hapa soma hii weka akilini.
Hakuna anaekuchukia wewe kwa ajili ya dini yako, walipita waislam kama wewe hawakuchukiwa kiasi hiki(kipindi wengi watanzania wakiwa gizani)
MIMI NI MUISLAM PIA.

Kwa sasa hata angekuwa mkristu kwa haya yanayofanyika angepingwa pia samia nyinyi ni makatili, madhulumati, mnakula sana pesa za taifa hili, hata wenzio walikuwa wanakula na kyiba(zingatia kwamba kipindi hiko watanzania kielimu ilikuwa bado, ukizingatia na mitandao, dunia i.ekuwa kama kijiji, mie nakaa mboo-ndole lakini najua dubai imefika pale kwanini, na sisi tuna nini na nini, habari za wizi na ufisadi wenu uko wazi wazi) mnategemea nini.

Samia nyinyi viongozi mjitathmini, hamjui kula na sisi vipofu, hii nchi mngeweza kuiba na watanzania wala wasihamaki..
Tuna madini chungumzima, tuna gesi, bandari 3 za baharini, maliasili chungunzima, lakini inamfaidisha nini mtanzania.. angalia iran huko na nchi zenye mafuta bei ya mafuta, kisha angalia sisi wenye gesi na bei ya gesi bado tuna uranium
Mwaka wa 60+ toka uhuru maji bado shida, umeme, miundombinu usiseme, afya kipengele, elimu ndio mama yangu msiba mzito.
Nchi maskini tuna wabunge hewa 125 wanalipwa 18 milioni kwa mwezi na wakimaliza wanavuta milioni 380, chukua calculator piga hesabu hizo pesa, je zingeingia kwenye afya..
Piga hesabu matumizi ya hovyo ya serikali.. kwa mwaka serikali i atumia takribani bilioni 500 kununua magari mapya na vipuri, mkuu wa wilaya na waziri wa maji wanaenda kutembelea sehemu kuna shida ya maji inahitaji bilio i2 tu, ila msafara wao una gari za bilioni 5, ni kichaa tu ndio atafurahia mnayotenda.

Nyinyi ndio mmetufikisha hapa, watu wamechoka, tunawaambia bado mnatuteka na kutuua, nani atawafurahia.

JITATHMINI, hauchukiwi, yanachukiwa matendo yenu, hamna huruma na mtanzania wala tanzania ya kesho, kivipi sisi tuwapende na tuwahurumie?

KUMBUKA.
MIMI NI MUISLAM PIA
 
Hii ni moja ya kauli za Samia, na wapo wanaomuunga mkono. Lakini kama juhudi zako hizo za uchawa, je, unajua impact ya miaka tano? Umewahi kufikiria kwamba baada ya miaka mitano utakuwa na umri gani? Umewahi kufikiria kwamba baada ya miaka mitano bila uhuru, chini ya utawala wenye sanctions zinazokuja, tutakuwa tumepoteza kiasi gani? Ni vizuri kufikiria kwa undani kabla ya kusupport jambo lolote lisilo na tija.

Miaka mitano si muda mfupi katika maisha ya mwanadamu. Ni kipindi ambacho kinaweza kubadili hatima ya nchi.
Kwa kuzingatia maslahi mapana ya taifa na mustakabali wa Watanzania, tunakuomba, Mheshimiwa Samia, uzingatie uwezekano wa kuachia ngazi. Ikiwa sababu kuu ni masuala ya kifedha, je, kama Watanzania wangekuchangia, ungekuwa tayari kuchukua hatua hiyo?

Yale yaliyotokea katika kipindi hiki cha uongozi ni mazito na hayajawahi kushuhudiwa katika historia ya nchi yetu. Heshima na taswira ya taifa yetu kimataifa zimeathirika kwa kiasi kikubwa.

Tumewaiba sana mali za Watanzania. Rushwa na mikataba mibovu imekithiri. Na kama haitoshi, sasa mmeanza “kuiba roho” za Watanzania—mnawaua Watanzania huku mkiona mali, majengo, na miundombinu kuwa muhimu kuliko uhai wa binadamu.

Kuna siku haya yote yatawajibishwa.
Kufuatana na kichwa cha habari, ni yeye analamika hivyo , basi yeye ndio chanzo cha mfarakano wa kidini na muwezeshaji wa masheikh ubwabwa.
 
Back
Top Bottom