kallenge
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 765
- 779
Tena kenge maji kabisa huyuuchawa wataka moyo akianani! Mbwa wewe.
Tena kenge maji kabisa huyuuchawa wataka moyo akianani! Mbwa wewe.
Hii ni moja ya kauli za Samia, na wapo wanaomuunga mkono. Lakini kama juhudi zako hizo za uchawa, je, unajua impact ya miaka tano? Umewahi kufikiria kwamba baada ya miaka mitano utakuwa na umri gani? Umewahi kufikiria kwamba baada ya miaka mitano bila uhuru, chini ya utawala wenye sanctions zinazokuja, tutakuwa tumepoteza kiasi gani? Ni vizuri kufikiria kwa undani kabla ya kusupport jambo lolote lisilo na tija.
Miaka mitano si muda mfupi katika maisha ya mwanadamu. Ni kipindi ambacho kinaweza kubadili hatima ya nchi.
Kwa kuzingatia maslahi mapana ya taifa na mustakabali wa Watanzania, tunakuomba, Mheshimiwa Samia, uzingatie uwezekano wa kuachia ngazi. Ikiwa sababu kuu ni masuala ya kifedha, je, kama Watanzania wangekuchangia, ungekuwa tayari kuchukua hatua hiyo?
Yale yaliyotokea katika kipindi hiki cha uongozi ni mazito na hayajawahi kushuhudiwa katika historia ya nchi yetu. Heshima na taswira ya taifa yetu kimataifa zimeathirika kwa kiasi kikubwa.
Tumewaiba sana mali za Watanzania. Rushwa na mikataba mibovu imekithiri. Na kama haitoshi, sasa mmeanza “kuiba roho” za Watanzania—mnawaua Watanzania huku mkiona mali, majengo, na miundombinu kuwa muhimu kuliko uhai wa binadamu.
Kuna siku haya yote yatawajibishwa.
Akili yako na wewe kama ng'ombe tu. Kwahio umeridhika nahaya maswaibu kisa unaogopa yatakayo kuja.Tumezoea kutengeneza matatizo halafu tunatumia muda mwingi na rasilimali nyingi kuyatatua na yanashindikana. Pamoja na uliyoyasema, ni nani ambaye atakuja kuzimaliza hizo shida ndani ya hiyo miaka mitano? Pamoja na ufisadi wa awamu ya nne hadi PM akajiudhuru mbona hamkuanzisaha vurugu za kumtoa aliyekuwepo, au kwa vile maslahi yenu hayakuguswa na mlifaidika na huo ufisadi?
Ushajiuliza matokeo ya kuitoa Serikali iliyopo madarakani kwa vurugu, unafikiri atakayekabidhiwa nchi atakuwa salama? Kuna muda tunawaza pafupi sana hatujipi muda kuwaza matokeo hasi na chanya kwa kila uamuzi tunaoufanya.
Weka video ...Pimbi wewe
Hustahili kupata hata week 2....nchi zoote duniani zimekulataa sababu bongo.lala lako.....unashauriwa bibaya wewe unachekelea eti ua tu hawa watasahau wewe amiri geshi mkuu dasndio kuua sasa? Saa 100 ni mkubwa kuliko nchi ?? Damu zile itakuwaje ??tuachie nchi yetuuuHii ni moja ya kauli za Samia, na wapo wanaomuunga mkono. Lakini kama juhudi zako hizo za uchawa, je, unajua impact ya miaka tano? Umewahi kufikiria kwamba baada ya miaka mitano utakuwa na umri gani? Umewahi kufikiria kwamba baada ya miaka mitano bila uhuru, chini ya utawala wenye sanctions zinazokuja, tutakuwa tumepoteza kiasi gani? Ni vizuri kufikiria kwa undani kabla ya kusupport jambo lolote lisilo na tija.