useyourcommonsensetothink
Member
- Nov 5, 2025
- 89
- 165
Huyu mama akili zake si sawa hata kidogo, na wale wanaomsapoti wanafaidika na wizi wa pesa zetu.Hii ni moja ya kauli za Samia, na wapo wanaomuunga mkono. Lakini kama juhudi zako hizo za uchawa, je, unajua impact ya miaka tano? Umewahi kufikiria kwamba baada ya miaka mitano utakuwa na umri gani? Umewahi kufikiria kwamba baada ya miaka mitano bila uhuru, chini ya utawala wenye sanctions zinazokuja, tutakuwa tumepoteza kiasi gani? Ni vizuri kufikiria kwa undani kabla ya kusupport jambo lolote lisilo na tija.
Miaka mitano si muda mfupi katika maisha ya mwanadamu. Ni kipindi ambacho kinaweza kubadili hatima ya nchi.
Kwa kuzingatia maslahi mapana ya taifa na mustakabali wa Watanzania, tunakuomba, Mheshimiwa Samia, uzingatie uwezekano wa kuachia ngazi. Ikiwa sababu kuu ni masuala ya kifedha, je, kama Watanzania wangekuchangia, ungekuwa tayari kuchukua hatua hiyo?
Yale yaliyotokea katika kipindi hiki cha uongozi ni mazito na hayajawahi kushuhudiwa katika historia ya nchi yetu. Heshima na taswira ya taifa yetu kimataifa zimeathirika kwa kiasi kikubwa.
Tumewaiba sana mali za Watanzania. Rushwa na mikataba mibovu imekithiri. Na kama haitoshi, sasa mmeanza “kuiba roho” za Watanzania—mnawaua Watanzania huku mkiona mali, majengo, na miundombinu kuwa muhimu kuliko uhai wa binadamu.
Kuna siku haya yote yatawajibishwa.
Kama vile Wanafanya experiment ya kutawala nchi, na sisi wanannchi ndiyo tunabeba mzigo kama wale panya weupe wa labHii ni moja ya kauli za Samia, na wapo wanaomuunga mkono. Lakini kama juhudi zako hizo za uchawa, je, unajua impact ya miaka tano? Umewahi kufikiria kwamba baada ya miaka mitano utakuwa na umri gani? Umewahi kufikiria kwamba baada ya miaka mitano bila uhuru, chini ya utawala wenye sanctions zinazokuja, tutakuwa tumepoteza kiasi gani? Ni vizuri kufikiria kwa undani kabla ya kusupport jambo lolote lisilo na tija.
Miaka mitano si muda mfupi katika maisha ya mwanadamu. Ni kipindi ambacho kinaweza kubadili hatima ya nchi.
Kwa kuzingatia maslahi mapana ya taifa na mustakabali wa Watanzania, tunakuomba, Mheshimiwa Samia, uzingatie uwezekano wa kuachia ngazi. Ikiwa sababu kuu ni masuala ya kifedha, je, kama Watanzania wangekuchangia, ungekuwa tayari kuchukua hatua hiyo?
Yale yaliyotokea katika kipindi hiki cha uongozi ni mazito na hayajawahi kushuhudiwa katika historia ya nchi yetu. Heshima na taswira ya taifa yetu kimataifa zimeathirika kwa kiasi kikubwa.
Tumewaiba sana mali za Watanzania. Rushwa na mikataba mibovu imekithiri. Na kama haitoshi, sasa mmeanza “kuiba roho” za Watanzania—mnawaua Watanzania huku mkiona mali, majengo, na miundombinu kuwa muhimu kuliko uhai wa binadamu.
Kuna siku haya yote yatawajibishwa.
Acha uongo, hajasema hivyo... weka videoHii ni moja ya kauli za Samia, na wapo wanaomuunga mkono. Lakini kama juhudi zako hizo za uchawa, je, unajua impact ya miaka tano? Umewahi kufikiria kwamba baada ya miaka mitano utakuwa na umri gani? Umewahi kufikiria kwamba baada ya miaka mitano bila uhuru, chini ya utawala wenye sanctions zinazokuja, tutakuwa tumepoteza kiasi gani? Ni vizuri kufikiria kwa undani kabla ya kusupport jambo lolote lisilo na tija.
Miaka mitano si muda mfupi katika maisha ya mwanadamu. Ni kipindi ambacho kinaweza kubadili hatima ya nchi.
Kwa kuzingatia maslahi mapana ya taifa na mustakabali wa Watanzania, tunakuomba, Mheshimiwa Samia, uzingatie uwezekano wa kuachia ngazi. Ikiwa sababu kuu ni masuala ya kifedha, je, kama Watanzania wangekuchangia, ungekuwa tayari kuchukua hatua hiyo?
Yale yaliyotokea katika kipindi hiki cha uongozi ni mazito na hayajawahi kushuhudiwa katika historia ya nchi yetu. Heshima na taswira ya taifa yetu kimataifa zimeathirika kwa kiasi kikubwa.
Tumewaiba sana mali za Watanzania. Rushwa na mikataba mibovu imekithiri. Na kama haitoshi, sasa mmeanza “kuiba roho” za Watanzania—mnawaua Watanzania huku mkiona mali, majengo, na miundombinu kuwa muhimu kuliko uhai wa binadamu.
Kuna siku haya yote yatawajibishwa.
uchawa wataka moyo akianani! Mbwa wewe.Acha uongo, hajasema hivyo... weka video
Ni kweli, ila amemaanisha hivyo.Acha uongo, hajasema hivyo... weka video
Tumezoea kutengeneza matatizo halafu tunatumia muda mwingi na rasilimali nyingi kuyatatua na yanashindikana. Pamoja na uliyoyasema, ni nani ambaye atakuja kuzimaliza hizo shida ndani ya hiyo miaka mitano? Pamoja na ufisadi wa awamu ya nne hadi PM akajiudhuru mbona hamkuanzisaha vurugu za kumtoa aliyekuwepo, au kwa vile maslahi yenu hayakuguswa na mlifaidika na huo ufisadi?Hii ni moja ya kauli za Samia, na wapo wanaomuunga mkono. Lakini kama juhudi zako hizo za uchawa, je, unajua impact ya miaka tano? Umewahi kufikiria kwamba baada ya miaka mitano utakuwa na umri gani? Umewahi kufikiria kwamba baada ya miaka mitano bila uhuru, chini ya utawala wenye sanctions zinazokuja, tutakuwa tumepoteza kiasi gani? Ni vizuri kufikiria kwa undani kabla ya kusupport jambo lolote lisilo na tija.
Miaka mitano si muda mfupi katika maisha ya mwanadamu. Ni kipindi ambacho kinaweza kubadili hatima ya nchi.
Kwa kuzingatia maslahi mapana ya taifa na mustakabali wa Watanzania, tunakuomba, Mheshimiwa Samia, uzingatie uwezekano wa kuachia ngazi. Ikiwa sababu kuu ni masuala ya kifedha, je, kama Watanzania wangekuchangia, ungekuwa tayari kuchukua hatua hiyo?
Yale yaliyotokea katika kipindi hiki cha uongozi ni mazito na hayajawahi kushuhudiwa katika historia ya nchi yetu. Heshima na taswira ya taifa yetu kimataifa zimeathirika kwa kiasi kikubwa.
Tumewaiba sana mali za Watanzania. Rushwa na mikataba mibovu imekithiri. Na kama haitoshi, sasa mmeanza “kuiba roho” za Watanzania—mnawaua Watanzania huku mkiona mali, majengo, na miundombinu kuwa muhimu kuliko uhai wa binadamu.
Kuna siku haya yote yatawajibishwa.
Kufuatana na kichwa cha habari, ni yeye analamika hivyo , basi yeye ndio chanzo cha mfarakano wa kidini na muwezeshaji wa masheikh ubwabwa.Hii ni moja ya kauli za Samia, na wapo wanaomuunga mkono. Lakini kama juhudi zako hizo za uchawa, je, unajua impact ya miaka tano? Umewahi kufikiria kwamba baada ya miaka mitano utakuwa na umri gani? Umewahi kufikiria kwamba baada ya miaka mitano bila uhuru, chini ya utawala wenye sanctions zinazokuja, tutakuwa tumepoteza kiasi gani? Ni vizuri kufikiria kwa undani kabla ya kusupport jambo lolote lisilo na tija.
Miaka mitano si muda mfupi katika maisha ya mwanadamu. Ni kipindi ambacho kinaweza kubadili hatima ya nchi.
Kwa kuzingatia maslahi mapana ya taifa na mustakabali wa Watanzania, tunakuomba, Mheshimiwa Samia, uzingatie uwezekano wa kuachia ngazi. Ikiwa sababu kuu ni masuala ya kifedha, je, kama Watanzania wangekuchangia, ungekuwa tayari kuchukua hatua hiyo?
Yale yaliyotokea katika kipindi hiki cha uongozi ni mazito na hayajawahi kushuhudiwa katika historia ya nchi yetu. Heshima na taswira ya taifa yetu kimataifa zimeathirika kwa kiasi kikubwa.
Tumewaiba sana mali za Watanzania. Rushwa na mikataba mibovu imekithiri. Na kama haitoshi, sasa mmeanza “kuiba roho” za Watanzania—mnawaua Watanzania huku mkiona mali, majengo, na miundombinu kuwa muhimu kuliko uhai wa binadamu.
Kuna siku haya yote yatawajibishwa.
Ni mvivu wa kufikiri. Kwani kama shida ni dini ni ma Rais wangapi wametawala walio na dini kama ya kwake?Eti dini
Ndio haohao wanaomteteaHuyu mama akili zake si sawa hata kidogo, na wale wanaomsapoti wanafaidika na wizi wa pesa zetu.
Pimbi weweAcha uongo, hajasema hivyo... weka video