PostGE2025 Kama hamnipendi kwa sababu ya dini, si mniache nimalize mda wangu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kashinda kwa asilimia 98 alafu anasema kuna watu hawampendi ? Sababu vyote hivyo vina uhasiano huenda kama alidanganya kwenye hizo 98 basi ni kweli hapendwi kama anavyotaka kutuaminisha - Pili kama kiongozi inabidi ujue kuishi na hata wasiokupenda kwa kuwa-accomodate na sio kuwagawa kwa makundi - Divide and Rule
 

Hakuna miaka mitano, ni lini atachukuliwa na ICC?
 
Akili yako na wewe kama ng'ombe tu. Kwahio umeridhika nahaya maswaibu kisa unaogopa yatakayo kuja.

Mshenzi sana wewe
 
Hustahili kupata hata week 2....nchi zoote duniani zimekulataa sababu bongo.lala lako.....unashauriwa bibaya wewe unachekelea eti ua tu hawa watasahau wewe amiri geshi mkuu dasndio kuua sasa? Saa 100 ni mkubwa kuliko nchi ?? Damu zile itakuwaje ??tuachie nchi yetuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…