Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 16,583
- 42,992
Hizo organs nilizozitaja hapo juu;
Majeshi
Vyombo vya usalama
Deep state
Ambavyo kimsingi nikama nimetaja kitu kilekile ukiangalia JICHO la haraka nawaomba ombi lifuatalo.
Kama mnaona hampo tayari kwasasa kuwa na katiba mpya Basi angalau ukifika uchaguzi mkuu muiache ccm ijitete yenyewe nyie muwe fair kwakila chama lindeni Sheria za nchi tu.
Kwakuwa ccm inapendwa Sana na watanzania naamini chadema wata accept defeat mapema bila kinyongo.