Oragans ndio vitu gani au English ya gaidi mboweHizo oragans nilizozitaja hapo juu;
Majeshi
Vyombo vya usalama
Deep state
Ambavyo kimsingi nikama nimetaja kitu kilekile ukiangalia JICHO la haraka nawaomba ombi lifuatalo.
Kama mnaona hampo tayari kwasasa kuwa na katiba mpya Basi angalau ukifika uchaguzi mkuu muiache ccm ijitete yenyewe nyie muwe fair kwakila chama lindeni Sheria za nchi tu.
Kwakuwa ccm inapendwa Sana na watanzania naamini chadema wata accept defeat mapema bila kinyongo.
Superbug
CCM bado wanaweza kushinda kwa haki kabisa uchaguzi.Hizo oragans nilizozitaja hapo juu;
Majeshi
Vyombo vya usalama
Deep state
Ambavyo kimsingi nikama nimetaja kitu kilekile ukiangalia JICHO la haraka nawaomba ombi lifuatalo.
Kama mnaona hampo tayari kwasasa kuwa na katiba mpya Basi angalau ukifika uchaguzi mkuu muiache ccm ijitete yenyewe nyie muwe fair kwakila chama lindeni Sheria za nchi tu.
Kwakuwa ccm inapendwa Sana na watanzania naamini chadema wata accept defeat mapema bila kinyongo.
Superbug
Siku ccm ikijaribu tu kusimama kwa hiyo miguu yake miwili, basi saa mbili tu asubuhi wapiga kura watakua wanashangilia ushindi wa kishindo kwa wapinzani!!Hizo organs nilizozitaja hapo juu;
Majeshi
Vyombo vya usalama
Deep state
Ambavyo kimsingi nikama nimetaja kitu kilekile ukiangalia JICHO la haraka nawaomba ombi lifuatalo.
Kama mnaona hampo tayari kwasasa kuwa na katiba mpya Basi angalau ukifika uchaguzi mkuu muiache ccm ijitete yenyewe nyie muwe fair kwakila chama lindeni Sheria za nchi tu.
Kwakuwa ccm inapendwa Sana na watanzania naamini chadema wata accept defeat mapema bila kinyongo.
Superbug
Kwani ccm ipo?.Hizo organs nilizozitaja hapo juu;
Majeshi
Vyombo vya usalama
Deep state
Ambavyo kimsingi nikama nimetaja kitu kilekile ukiangalia JICHO la haraka nawaomba ombi lifuatalo.
Kama mnaona hampo tayari kwasasa kuwa na katiba mpya Basi angalau ukifika uchaguzi mkuu muiache ccm ijitete yenyewe nyie muwe fair kwakila chama lindeni Sheria za nchi tu.
Kwakuwa ccm inapendwa Sana na watanzania naamini chadema wata accept defeat mapema bila kinyongo.
Superbug
ilimkost Tido. wakati alifanya kazi yake kama Mwanahabari nguli.Walete mchakato majimboni wa Tido mhando. Haaaaaah. Ilikuwa ngumu kumeza. Mie nasema Ccm ikitoka madarakani Basi heli nife maana mbinguni nitafika.
Hiyo confidence ya kuweka mazingira huru wanaitoa wapi hawa magaidi?? wana hofu kutokana na matendo yao.CCM bado wanaweza kushinda kwa haki kabisa uchaguzi.
Mimi naamini CCM itakuja kushindwa kwenye uchaguzi huru ikitokea Rais wake kakatalia madarakani muda mrefu.
Binafsi wana hulka ya kuishi kwa matumaini kwa kila mtu mpya.
Hata kikiingia chama kipya kikikaa miaka 5 tu, watu watakuqa wamechoka sana wanataka tena mabadiliko.
Mkuu kuna magaidi humo yamefunzwa huko somalia.2025 ccm inakwenda kubamizwa vibaya sana upinzani utachukua majimbo mengi sana.
Mbabe wa upinzani alikuwa magu Hakuna mwingine atakaeyeweza.
Ccm haiwezi bila police
Thubutu yao, CCM wasimame bila msaada wa polisi watapigwa asubuhi sana!Hizo organs nilizozitaja hapo juu;