Kama hamtaki kuajiri msituvuruge majobless

iko hivi Bro pale kinachofanyika ni kunyonya positive energy.

Makampuni mengi hasa yaliyochini ya wenzetu ngozi nyeupe wana ka kitu wanafanya nyuma ya pazia, sio kwamba kunakuwa na hizo nafasi, wanaweza kuwa wanahitaji watu 10 wakaita watu mia 500 kisha mkawekwa pale hata siku mbili, kwenye usaili, kiinachofanyika yanachukuliwa majina pale wanapeleka wanakokujua wao, ( hapa sasa mambo ya utamaduni) wanayapitia, wanachagua mazombi wanaoweza kufanya kazi ktk halli yoyote ile, nyie wengine mkionekana vichwa ngumu hampati kazi hata uwe umetimiza vigezo vyote, kiufupi ni kwamba kabla hujaajiliwa wanaenda kuchungulia kawa upo uwezekano wa kukuajast kidogo usije leta maseke kazi ikafa. narudi hii ni kwa kampuni zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…