Kama hamtaki kuajiri msituvuruge majobless

Kama hamtaki kuajiri msituvuruge majobless

Oya wanajamvi, Kuna hizi kampuni wanatangaza kazi afu unapiga aptitude test online, Moja wapo ni ALISTAIR nawataja kwa majina sababu nafanya hip-hop, oy muwachane TU kama hawana mpango wa kuajiri wasitume tangazo, au kama wana watu wao wawaite TU, wanatuchanganya majobless, unapiga Pepa online maswali 40 ujibu ndani ya lisaa limoja, passmark ni 65% humo humo Kuna maswali ya mathematics hasa sequence and series nyingi,ya uelewa, ya language, labda mimi kilaza ila Ile Pepa kutoboa is not easy.

Mara nyingine nlienda kwenye interview somewhere kulikuwa na nafasi 43, kati ya hao 39 walikuwa wanarenew mikataba na nafasi zikabaki nne tupo raia mia mbili na point huko, na wote tulipigwa written Pepa then oral interview what the hell is this, I think authorities know nothing about what the JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala we have been through.

Afu kuna hii ishu ya ajira jeshi la polisi nao sijui wanatuonaje majobless na link Yao mbovu na hawatoi tamko hadi sasa.
iko hivi Bro pale kinachofanyika ni kunyonya positive energy.

Makampuni mengi hasa yaliyochini ya wenzetu ngozi nyeupe wana ka kitu wanafanya nyuma ya pazia, sio kwamba kunakuwa na hizo nafasi, wanaweza kuwa wanahitaji watu 10 wakaita watu mia 500 kisha mkawekwa pale hata siku mbili, kwenye usaili, kiinachofanyika yanachukuliwa majina pale wanapeleka wanakokujua wao, ( hapa sasa mambo ya utamaduni) wanayapitia, wanachagua mazombi wanaoweza kufanya kazi ktk halli yoyote ile, nyie wengine mkionekana vichwa ngumu hampati kazi hata uwe umetimiza vigezo vyote, kiufupi ni kwamba kabla hujaajiliwa wanaenda kuchungulia kawa upo uwezekano wa kukuajast kidogo usije leta maseke kazi ikafa. narudi hii ni kwa kampuni zote
 
Back
Top Bottom