Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Huu ndio ukweli mchungu kwa hawa watu hawa ambao wameamua kutumia mabavu kunyanyasa wengine, tena wakitimiza wajibu waliopewa kwa doublestand ya hali ya juu.
Mnawalazimisha watu kutafuta haki zao nje ya mifumo iliyopo kwasababu mifumo hiyo haitendi haki, alafu cha ajabu, nyie ndio mnakuwa wa kwanza kulalamika. Ajabu kabisa hii!!
Kwa kifupi, mnachokifanya ni sawa na kumtandika mtu mzima bakora, alafu ulalamike kuwa anakupigia kelele anapolia kutokana na maumivu uliomsababishia au usitake alie kabisa!
Kwa mwendo huu,hata shetani watashirikiananae mradi tu anaweza kuwasaidia kupata haki yao na hata Mungu atatoa baraka zake na mwisho wa siku mtashindwa tu.